Ni kama kiasi gan mkuu?.Watu watakuambia ni ngumu kuingia ila penye nia pana njia
Ukiamua kuvuka mipaka unavuka kama na income ipo
Njia nyingi hata kama kuja kusoma halafu unazamia mazima
Ni hela nyingi za kupita ila kama unazo utakuja tu
Ni kama kiasi gan mkuu?.
Mavi-jana ya Tanzania hapo huyapati. Yanataka kazi za kuajiriwa ofisini yawe yakiamka asubuhi yachomekee. Nilikuwa na toto la dada yangu tumelifungulia duka la simu na vifaa vyake eneo zuri kabisa. Mwanzoni tulivyokuwa karibu nalo hatujahamishwa lilikuwa linauza kwa siku faida 50k mpaka 70k baada ya kutoa na gharama zingine, tumekuja kuhamia tukasema dogo kumwachia duka uwe kama mkopo awe wakaturudishia kidogo kidogo ule mtaji wetu uliweka pale. Mamamake duka likamshinda anakula tu hela hakumbuki tena kutuma, tumemtimua na kumrudisha kijijini kwao na degree yake ya political science and public admin. akajifunze! Sasa hivi amekuwa mvuvi labda akili itamkaa sawa!Zifanyike juhudi za maksudi kutumia mabonde na mashamba makubwa ya chai,tumbaku,mpunga,mahindi,mboga mboga,uvuvi,miti na hata ufugaji kuwaingiza ajira vijana humo kwa serikali kuwasapoti kwa kununua matrekta mengi kujenga kambi kwa maana ya nyumba nyingi jirani na mashamba hayo mikoani, kuwawekea huduma zote muhimu za hospital,shule,mabenki nk,vijana wazalishe mazao yachakatwe serikali ifanye export.
Ujinga kujisifia kumtimua ndugu yako, ili aje mbaki. Ulipaswa kutulia nae kwa namna yoyote akuelewe.Mavi-jana ya Tanzania hapo huyapati. Yanataka kazi za kuajiriwa ofisini yawe yakiamka asubuhi yachomekee. Nilikuwa na toto la dada yangu tumelifungulia duka la simu na vifaa vyake eneo zuri kabisa. Mwanzoni tulivyokuwa karibu nalo hatujahamishwa lilikuwa linauza kwa siku faida 50k mpaka 70k baada ya kutoa na gharama zingine, tumekuja kuhamia tukasema dogo kumwachia duka uwe kama mkopo awe wakaturudishia kidogo kidogo ule mtaji wetu uliweka pale. Mamamake duka likamshinda anakula tu hela hakumbuki tena kutuma, tumemtimua na kumrudisha kijijini kwao na degree yake ya political science and public admin. akajifunze! Sasa hivi amekuwa mvuvi labda akili itamkaa sawa!
Duuh kwel legendary, miaka 40 ng'ambo sio mchezoInategemea na route unayopita kama ni masomo au kupita njia za mzunguko mimi nimezamia miaka 40 iliyopita
Ila sasa sijui ni ngapi maana kila mmoja na bahati yake
Duuh kwel legendary, miaka 40 ng'ambo sio mchezo
Alifanya ujinga ambao hauvumiliki!Ujinga kujisifia kumtimua ndugu yako, ili aje mbaki. Ulipaswa kutulia nae kwa namna yoyote akuelewe.
Ndugu hawi mjinga, siku moja atakuosha mavi ukiwa umelazwa.Alifanya ujinga ambao hauvumiliki!
Tena unapatikana afrika pekeeWanahitajika watu 10 kwenye usaili wanaitwa 1000 utakuwa mpumbavu ukienda
Kwa mentality hii utaibiwa hadi wamalize vyote. Issue ya kuzikwa na ndugu zako isikufanye uwe boya na kufumbia ubadhirifu kwenye miradi yako.Ndugu hawi mjinga, siku moja atakuosha mavi ukiwa umelazwa.
Endelea na ndoto hizo hizo! Pengine unanisumbua tu uko unafugwa kwa shemeji yako!Ndugu hawi mjinga, siku moja atakuosha mavi ukiwa umelazwa.
Naunga mkono hoja! Halafu ukute hili boya hata halina mbele wala nyuma na bado linafugwa kwa shemeji yake na kusikilizia miguno ya dadake!Kwa mentality hii utaibiwa hadi wamalize vyote. Issue ya kuzikwa na ndugu zako isikufanye uwe boya na kufumbia ubadhirifu kwenye miradi yako.
Ukifa utazikwa tu....hii haijalishi kama huyo ndugu atashiriki mazishi yako au lah.
Heheheh we jamaa, haya.Naunga mkono hoja! Halafu ukute hili boya hata halina mbele wala nyuma na bado linafugwa kwa shemeji yake na kusikilizia miguno ya dadake!
Kwakweli hilo nalo neno 🤣✊🏽Hapo red, wala hilo sio Tatizo Kuipata mkuu. Ukiwa na docs zote within 2 weeks wanapata labda wapunguze bei kidogo. Ila Tatizo pesa/nauli looh, Tangu niipate yangu kribia inaExpire Sijawahi kuitumia hata hapo Namanga. Nadhani Wangeweka mfumo wa kukopesha pesa(Nauli snd other expenses) kwa ambao wanataka kwenda nje wakiwa na sifa halafu wawe wanakata hela yao taratibu.
Anyway naona serikali haina nia na mipango ya kuinua vijana wa taifa hili....Wacha tuendelee kukaba na kuiba kuku mitaani na kunywa Viroba😢🚶🚶🚶