UP TO DATE
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 739
- 907
Hapa kazi ipo,ndiyo matokeo ya porojo zisizo na maana...akili za viongozi zenyewe ni Kama akili za watt wao nyumbani...
Ulitaka mtu arushe ngumi?Msomi wa Tanzania hajielewi yaani unanyanganywa saa alafu wanakaa kimya kama nyumbu Tanzania Kuna shida sana na tuna safari ndefu sana
Kitu ambacho hujui ni kwamba, hao wote kama si wengi wao, tayari wanajishughulisha ha na hizo ajira za kilimo na ufugaji ulizotaja, kinachotusumbua waTz ni tamaa tuNina imani hao niwachache tu waliojitokeza kwani bado huku mitaani tumebaki wengi ambao hatuku apply nafasi hizo za TRA,hii ni hatari!ajira sasa ni kama bomu la nyuklia
Hapa cha kushauriKwanza, serikali kupitia Wizara za kazi,fedha na ofisi ya waziri mkuu kuangalia namna ya kutengeneza ajira kwa vijana kwani kila mwaka idadi mitaani inaongezeka
Zifanyike juhudi za maksudi kutumia mabonde na mashamba makubwa ya chai,tumbaku,mpunga,mahindi,mboga mboga,uvuvi,miti na hata ufugaji kuwaingiza ajira vijana humo kwa serikali kuwasapoti kwa kununua matrekta mengi kujenga kambi kwa maana ya nyumba nyingi jirani na mashamba hayo mikoani, kuwawekea huduma zote muhimu za hospital,shule,mabenki nk,vijana wazalishe mazao yachakatwe serikali ifanye export.
Pili, serikali iwawekee milango wazi na kuondoa ugumu wa kupata hati za kusafiria kwa maana ya bei ya pasi na ulazima wa mtu kuulizwa anaenda nje kufanya nini,wananchi wote wapewe hati za kusafiria na serikali ihimize watu watoke kwenda nchi tofauti duniani kutafuta maisha huko,viwandani,mashambani,mahotelin,madereva,mafundi,migodini,wauguzi,na wengine kutangaza utamaduni,lugha ya kiswahilii nk..kama walivyozagaa mataifa ya wenzetu duniani hususan wakenya,Nigerians nk
Yakifanyika haya kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira litapungua
Nawasilisha.
Sio augombee. Ni aje auchukuehii nchi ngumu sana.....natamani Putin aje kugombea urais huku.... 😎
Ni kweli, mimi nimefanya wa dkk 80.Kuna mtu namfahamu alifanya, na kwa mujibu wa yy alisema mtihani ulikuwa wa Dk 80, ule mwingine ulikuwa wa Dk 60.
Dakika 80 ziliisha?Ni kweli, mimi nimefanya wa dkk 80.
Ni ngumu kukadiria kwan hatukuruhusiwa kuingia na saa, na walipiga biti sana kwamba hata mfukoni huruhusiwi kuweka. Iwekwe mbele kwenye begi. Na kama utakutwa na saa unafutiwa mtihani hapo hapo.
Ukiondoa Marekani ambako rais Bush alishakua na ndugu yake gavana (kwa juhudi zake)Hilo ndio la kwanza yani “kuitana kwenye sinia la pilau”
La pili ni mchongo wa kukwapua hela kulimbikiza kwenye account za nje
Sio arushe ngumi lazima utoe sababu za msingi kwanin nisavae saa, simu sawa haitakiwi kwenye mtihani na tatizo watanzania wamezoea kupelekeshwa kama ng'ombeUlitaka mtu arushe ngumi?
Afadhali umenikumbusha.Jina Mkapa ondoa halipaswi kuwa sambamba na Nyerere au umesahau walivyogawana nyumba za serikali?
Salma Kikwete (mb) =mume alikuwa raisiNasikitika kwamba kwa serikali hii chini ya mboga mboga party ni ngumu kufanyika hayo sababu watu wapo kwa ajili yao binafsi
Daaaaaah nchi ngumu sana hiiNi 2% tu ya vijana wanajitegemea Tz, hii ni ajabu na kweli.
Nafasi zina watu tayari hata huo mtihani ilikuwa danganya toto. Wazazi waanze kuwaandalia watoto wao misingi kama mitaji ili wamslizapo vyuo wawe na pa kuanzia vinginevyo watoto wao wataendelea kudhalilishwa kupitia hizi ajira za serikali. Fikiria wale watu 11,000 waliowekwa uwanja wa taifa aibu gani hiyo?Hata waliobahatika kufanya mtihani wanalalamika awakutendewa haki.
Waliingizwa chumba cha mtihani kwa usimamizi wa police wakaponywa saa wote mtihani ni dakika 40 maswali magumu baada ya dakika 10 wakaambiwa zimebaki daki 10 wakaanza kuguna na kulalamika, wakapigwa biti atakaelalamika atafutiwa mtihani. So azikutimia dakika 40 wakaambiwa simama juu watu wametoka walilalamika wamechoma bure nauli zao toka mikoani.
Katika kutafuta maisha kuna cha aibu kweli?Nafasi zina watu tayari hata huo mtihani ilikuwa danganya toto. Wazazi waanze kuwaandalia watoto wao misingi kama mitaji ili wamslizapo vyuo wawe na pa kuanzia vinginevyo watoto wao wataendelea kudhalilishwa kupitia hizi ajira za serikali. Fikiria wale watu 11,000 waliowekwa uwanja wa taifa aibu gani hiyo?
Mara mia ukauza tangawizi mafungu kuliko kwenda interview ya watu 9000 wakati wanatakiwa 15.Katika kutafuta maisha kuna cha aibu kweli?
Wabongo ndipo tunapofeli hapo.
Vijana wote Pro CCM wanamenya kwa Mbeleko FC 😅Salma Kikwete (mb) =mume alikuwa raisi
Riziwani kikwete (mb)= naibu waziri
january makamba (mb)= baba SG =CCM
Geofrey Pinda = (mb) naibu waziri wa sheia=baba PM
Nape nauye = (mb) waziri = mtoto wa nauye mhamasishaji mbogamboga
vita kawawa
kawawa wa bagamoyo
ditopile
halima bulembo
Kutaja wachache, hawa walisoma shule gani cc tukasoma wapiii
Tunahitaji kujengeana ujasiri kuwa maisha yanaweza endelea kuliko kusindikiza Mwenge kwenye chambers za UDOM!Mara mia ukauza tangawizi mafungu kuliko kwenda interview ya watu 9000 wakati wanatakiwa 15.