luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Hali sio nzuri
Kuna mtu namfahamu alifanya, na kwa mujibu wa yy alisema mtihani ulikuwa wa Dk 80, ule mwingine ulikuwa wa Dk 60.Hata waliobahatika kufanya mtihani wanalalamika awakutendewa haki.
Waliingizwa chumba cha mtihani kwa usimamizi wa police wakaponywa saa wote mtihani ni dakika 40 maswali magumu baada ya dakika 10 wakaambiwa zimebaki daki 10 wakaanza kuguna na kulalamika, wakapigwa biti atakaelalamika atafutiwa mtihani. So azikutimia dakika 40 wakaambiwa simama juu watu wametoka walilalamika wamechoma bure nauli zao toka mikoani.
Afu hii kitu sikuielewa,ndio maana walitunyang'anya hadi saa kumbe ili tusijue muda tuliotumia.Hata waliobahatika kufanya mtihani wanalalamika awakutendewa haki.
Waliingizwa chumba cha mtihani kwa usimamizi wa police wakaponywa saa wote mtihani ni dakika 40 maswali magumu baada ya dakika 10 wakaambiwa zimebaki daki 10 wakaanza kuguna na kulalamika, wakapigwa biti atakaelalamika atafutiwa mtihani. So azikutimia dakika 40 wakaambiwa simama juu watu wametoka walilalamika wamechoma bure nauli zao toka mikoani.
aiseeAfu hii kitu sikuielewa,ndio maana walitunyang'anya hadi saa kumbe ili tusijue muda tuliotumia.
Venue yetu tu ilikua na wasimamizi kama 15 hivi wakiwemo police na watu wa usalama wa Taifa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] paper ilikuwaje lkn? Maana naona watu wa TMO wanalalamika mno, na hawa wa CUSTOMS wanasema maswali hayakuzingatia kozi kama za sheria nk.Afu hii kitu sikuielewa,ndio maana walitunyang'anya hadi saa kumbe ili tusijue muda tuliotumia.
Venue yetu tu ilikua na wasimamizi kama 15 hivi wakiwemo police na watu wa usalama wa Taifa.
"Nchi utabadilishwa na vijana..Kuna Dr mmoja alinambia hii Nchi utabadilishwa na vijana..
Either kwa amani au kwa fujo sababu hali ikiendelea hivi hivi baada ya miaka mitano tutakua na taifa lenye vijana jobless wengi saana so wataona nini cha kufanya..
BTW na ambao hawajasoma pia wako wengi saana, ukiona umepata nafasi ya kufanya kazi mshukuru Mungu then fanya kazi kwa moyo.
Nla
Ngoja tuone mkuu.."Nchi utabadilishwa na vijana..
Either kwa amani au kwa fujo sababu hali ikiendelea hivi hivi baada ya miaka mitano tutakua na taifa lenye vijana jobless wengi saana so wataona nini cha kufanya"..
Doctor alikudanganya, doctor mchochezi, na hakufai kama ni daktari wako au mwalimu, Asante!
Kuvuja sikusikia kama imevuja.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] paper ilikuwaje lkn? Maana naona watu wa TMO wanalalamika mno, na hawa wa CUSTOMS wanasema maswali hayakuzingatia kozi kama za sheria nk.
Tupe uelekeo wa paper zilikuwaje, tetesi za kuvuja nk.
Waliomba ni 66800, walioitwa kwenda written ni 13000 tu.Nisiwe mnafki, watu 60000 kugombania nafasi 1000 naona sawa tu. Yaani watu 60 wanagombania nafasi moja na hapo bado written, wakipigwa chini hizo nafasi unaweza kuta watu 20 ndio wanapigania nafasi 1, ipo fair kabisaa
Tayari Wana watu wao,Uliona wapi mtahiniwa anyang'anywe saa, sasa atakadilia vipi mda wake.Afu hii kitu sikuielewa,ndio maana walitunyang'anya hadi saa kumbe ili tusijue muda tuliotumia.
Venue yetu tu ilikua na wasimamizi kama 15 hivi wakiwemo police na watu wa usalama wa Taifa.
£55,000 ni zaidi ya Tzs 170,000,000Hili nimepishuhudia kabisa na unakuta wengi wana ajira ila hiyo fursa ni adimu sana kwa mwaka ni £55,000 (65,000,000) ya bongo
Section tofautiKuna mtu namfahamu alifanya, na kwa mujibu wa yy alisema mtihani ulikuwa wa Dk 80, ule mwingine ulikuwa wa Dk 60.
£55,000 ni zaidi ya Tzs 170,000,000
Na hasa watu 1000 wanatumia milioni 200 kwenda na kurudi kufanya interviews.Wanahitajika watu 10 kwenye usaili wanaitwa 1000 utakuwa mpumbavu ukienda