Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mjumbe wa CCM Halmashauru kuu ya taifa NEC ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia Jimbo la Malindi Hassan Ussi
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za CCM mkoa wa Dodoma leo tarehe 15 novemba 2025 Mbunge huyo amesema.
Serikali imetoa billion 200 kwa lengo la kuwezesha vijana ili vijana wapewe mikopo bila kubagua uanachama wake, na kuwaomba vijana kuchangamkia fursa inayotolewa kwa kujiunga vikundi vikundi vya kibiashara ili waweze kupata mikopo ikiwa ni asilimia 10% inayotolewa na halmashauri.
Amewaomba vijana kuacha kujiingiza kwenye uhalifu na kutowasikiliza watu wasioitakia mema nchi yetu ambao huwa wanawatumia vibaya kwa maslahi yao.