Well said bro. Kwenye biashara Yako kama ukijua kuwa wewe sio boss ila ni mwajiriwa namba mojaNatumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa (minimizing costs and maximising the profit). Nimeona vijana wengi wanajikuta mapema sana wanazidiwa na gharama za uendeshaji na kuingia kwenye matatizo sababu ikiwa wao wenyewe.
Biashara mwanzoni inahitaji uvumilivu na kujitoa sana kwa mmiliki wa hiyo biashara. Yaani pale mwanzoni mmiliki unatakiwa upigike haswa kabla ya kuongeza timu. Sasa hapa town utakuta dogo ndo anaanza biashara ila tayari kaweka secretary, meneja hadi mfanya usafi huku yeye akivimba balaa kama boss. Huu ujinga umewafanya wengi kushindwa mapema sana. Hizo gharama za mishahara utazilipaje? Vijana anza kumenyeka wewe mwenyewe kwa kiasi kikubwa na kadiri biashara inavyokuwa watu wataongezeka. Usilazimishe kuwa na watu wengi mwanzoni. Bana matumizi.
Pia wale wanaotumia pesa kufanya decorations za ofisi mjikumbushe huu uzi.
Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana wanafungua maduka ila wengie hawafikishi mwaka mmoja wamefunga baada ya kushindwa biashara. Vijana...www.jamiiforums.com
Sasa mkuu unafokea watu kwa hela zao wenyewe? Unawafokea watu kwa biashara zenye mitaji yao wenyewe? Yaani wewe unauchungu nao sana kuliko wao wenyewe? Kila mtu ana life lake mkuu. Kuna mwingine biashara ni ziada tu na halipii hata kodi ya pongo ila biashara ni yake. Acha watu wafanye watakavyo bhanaNatumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa (minimizing costs and maximising the profit). Nimeona vijana wengi wanajikuta mapema sana wanazidiwa na gharama za uendeshaji na kuingia kwenye matatizo sababu ikiwa wao wenyewe.
Biashara mwanzoni inahitaji uvumilivu na kujitoa sana kwa mmiliki wa hiyo biashara. Yaani pale mwanzoni mmiliki unatakiwa upigike haswa kabla ya kuongeza timu. Sasa hapa town utakuta dogo ndo anaanza biashara ila tayari kaweka secretary, meneja hadi mfanya usafi huku yeye akivimba balaa kama boss. Huu ujinga umewafanya wengi kushindwa mapema sana. Hizo gharama za mishahara utazilipaje? Vijana anza kumenyeka wewe mwenyewe kwa kiasi kikubwa na kadiri biashara inavyokuwa watu wataongezeka. Usilazimishe kuwa na watu wengi mwanzoni. Bana matumizi.
Pia wale wanaotumia pesa kufanya decorations za ofisi mjikumbushe huu uzi.
Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock
Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana wanafungua maduka ila wengie hawafikishi mwaka mmoja wamefunga baada ya kushindwa biashara. Vijana...www.jamiiforums.com
Bora wewe, mm naingia mwaka watatu ila naona giza tuππSure bro,nimeanza biashara mwaka wa tatu ndoo nimeanza kuona faida .
Sisi wengine tunahitaji ushauri kama huu kwa kuwa hatuna uzoefu wa biashara. One man's trash is another man's treasure.Sasa mkuu unafokea watu kwa hela zao wenyewe? Unawafokea watu kwa biashara zenye mitaji yao wenyewe? Yaani wewe unauchungu nao sana kuliko wao wenyewe? Kila mtu ana life lake mkuu. Kuna mwingine biashara ni ziada tu na halipii hata kodi ya pongo ila biashara ni yake. Acha watu wafanye watakavyo bhana
π πSasa mkuu unafokea watu kwa hela zao wenyewe? Unawafokea watu kwa biashara zenye mitaji yao wenyewe? Yaani wewe unauchungu nao sana kuliko wao wenyewe? Kila mtu ana life lake mkuu. Kuna mwingine biashara ni ziada tu na halipii hata kodi ya pongo ila biashara ni yake. Acha watu wafanye watakavyo bhana
Yaan mkuu wewe hadi unaanzisha biashara hujui kuwa watu kwako wanafuata mzigo na sio urembo wa dukani??Sisi wengine tunahitaji ushauri kama huu kwa kuwa hatuna uzoefu wa biashara. One man's trash is another man's treasure.
Mkuu, kila mmoja ana mapito yake katika maisha na hayafanani na ya mtu mwingine. I wouldn't draw conclusions on behalf of others when I know absolutely nothing about them or their endeavors. Everyone has a different path, that doesn't necessarily equate to yours. Kile ambacho wewe tayari unakijua, jifunze kutambua kuwa kuna wengine hawakijui. Ni hilo tu.Yaan mkuu wewe hadi unaanzisha biashara hujui kuwa watu kwako wanafuata mzigo na sio urembo wa dukani??