Vijana acheni kutupangia nyimbo za kusikiliza kwenye magari yetu

😁😁 vijana wasasa ni waovyo sana
 
Mkuu,Vijana wengi wa miaka hii hawana wanachojua zaidi ya kufuga virasta na kuvaa vinjunga!

Hawako smart kichwani!,Wanachowaza ni Amapiano tu na kururuka kama vyura!
 
Mpongo love-basoung
Mbilia bell -keyna
Lanouvelle generation -prince Julie
Yondo sister-Bwana tembe🤣
Sikinde-pole mkuu mwenzangu
Juwata-nenda salama
Uda jazz-kaishi salama
Maquiz du zaire-ether
Makassy-bembeya.
 
Mpongo love-basoung
Mbilia bell -keyna
Lanouvelle generation -prince Julie
Yondo sister-Bwana tembe🤣
Sikinde-pole mkuu mwenzangu
Juwata-nenda salama
Uda jazz-kaishi salama
Maquiz du zaire-ether
Makassy-bembeya.
Ngojo niongeze hizi kwenye list yangu mkuu
 
Hii kali!!! 🤣🤣🤣
 
Yaani nikupe lifti alafu unipangie nyimbo za kupika kwa gari yangu?ila asee kwa nyimbo zako I wish ningepata hiyo lift ningefurahi,mie naweza kula rhumba non stop kwa masaa matatu ndo zijirudie

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Walikosea Sana. Na pia ni watu wasiokuwa na shukrani.
 
Salute mkuu, hawa kenges wameuvuruga muziki wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…