Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Ndio tunajitahidi kuelimishana kiivi yan! Wataelewa tu
Oyaa! Sio poa asee! Tujiweke mbali sana na hawa watuUmeandika kwa hisia sana kamanda, kama una ka story uko nako vile, tujuze tujifunze zaidi. Vijana wengi kichwa kidogo kinaongoza kichwa kikubwa. Kuna app ya badoo vijana wanaona kama fursa, ila kule kumejaa wezi wa kike bila mfano, kuna jamaa katengenezewa kipindi cha kutembea na mke wa mtu na akafumaniwa kashasaula kumbe ni mchezo wa huyo demu na wahuni kadhaa, anaozea selo wiki 2 sasa.
Andika vizuri ueleweke haraka ya niniKuna jamaa amejinyoka Bunda na kuu Nurse huko.[emoji3][emoji3][emoji3]
NatembeaaAndika vizuri ueleweke haraka ya nini
Yule jamaa ni hatari, kamuwasha yule Nurse visu kama 10 hivi akasepa zake kumaliza kesi juu ya mti kwa shuka la kimasai tuKuna jamaa amejinyoka Bunda na kuu Nurse huko.😀😀😀
Imenisikitisha sana.Yule jamaa ni hatari, kamuwasha yule Nurse visu kama 10 hivi akasepa zake kumaliza kesi juu ya mti kwa shuka la kimasai tu
Hi ya lini mkuu, naomba link.Yule jamaa ni hatari, kamuwasha yule Nurse visu kama 10 hivi akasepa zake kumaliza kesi juu ya mti kwa shuka la kimasai tu
Shida vines haviridhiki na kadudu kamojaYule jamaa ni hatari, kamuwasha yule Nurse visu kama 10 hivi akasepa zake kumaliza kesi juu ya mti kwa shuka la kimasai tu
YaaniHawasikii
PoleAcha kuchanganya lugha ovyo.
Stay sharp ,look alive brotherYo my Gs, listen up real quick!
Hii dunia tunayoishi sai, si kama zamani. Mchezo umebadilika, na kama hujaamka, unaweza kuishia kujichimbia kaburi ukiwa bado kijana. Bro, wanawake siku hizi sio wote ni fair game—some got traps set like landmines, ukikanyaga tu, boom! Kesi ya ubakaji juu yako, hata hujui ilitoka wapi.
Don’t get it twisted – si kila smile ni invite, na si kila DM ni opportunity. Some of these shawties be moving slick, wakikusetup kama FBI. Ukiruka ruka ovyo, you gon' end up cuffed, not in love, but in jail my guy!
So stay woke, stay sharp. Don't let coochie cost you your freedom. Hii siyo time ya kucheza na moto, especially kama huna evidence ya ku-back up chochote. Nowadays, hata ukifall into the wrong situation, you guilty until proven innocent – and even that ain't promised.
Mind your grind, chase your paper, and keep your circle clean. Avoid drama, don’t mess with shorties you barely know, and always get your head straight before you act.
Bro, life ain't a music video, na jail siyo mahali pa kutuma selfies. Focus on your future, leave that reckless lifestyle for dummies.
Play smart. Live free. Don’t get caught slipping.
#KaaRada #LifeInaTrap #JelaSioYaFashion
⚠️ #MakinikaBro ⛓️ #RespectYourFuture