Umeandika kwa hisia sana kamanda, kama una ka story uko nako vile, tujuze tujifunze zaidi. Vijana wengi kichwa kidogo kinaongoza kichwa kikubwa. Kuna app ya badoo vijana wanaona kama fursa, ila kule kumejaa wezi wa kike bila mfano, kuna jamaa katengenezewa kipindi cha kutembea na mke wa mtu na akafumaniwa kashasaula kumbe ni mchezo wa huyo demu na wahuni kadhaa, anaozea selo wiki 2 sasa.