Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

Sasa majibu muda wote mnayo mnaangalia tu watu wanabishana. Enzi zetu tulikuwa tunakunywa red bull ila tulikuwa tunasema moja tu kwa wiki,sijui tulitoa wapi hii idea.
Ila shida sasa vijana wanakunywa hizi energy drink kama substitute ya maji na juice/soda. Mtu asubuhi ananunua maandazi na Mo energy, mchana chapati na Mo energy na usiku tena kabla hajalqla anakunywa nyingine ni hatari.
 
Hayo magonjwa yapo sana tu lakini sio lazima kuwa chanzo ni pombe na hizo energy drink
 
Imagine Real energy drink kama Redbull inauzwa 3000 hizi za kwetu eti 500 really?? Kuna kupona kweli hapo? Halafu mtu anaagiza na smart gin ya 2000 anapiga mixer daaah
Itakuwa we si unaona redbull packaging yake?! Halafu inatoka nje tofauti na hizi za kwetu.
 
Energy drink zina addiction mbaya sana ukizama hutoki

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hayo yote ni Ile hali ya kutokuwa na kiasi.
Lack of ability to say no!

Kikubwa vijana na watu wote wafuate utaratibu wa ulaji na unywaji kupitia muongozo wa vitabu vya waadventista wasabato.
Ellen G white books👇
Counsels on Diet and Foods
Counsels on Health
The health food ministry
Healthful Living
Temperance
The place of herbs in Rational therapy
 
Imagine Real energy drink kama Redbull inauzwa 3000 hizi za kwetu eti 500 really?? Kuna kupona kweli hapo? Halafu mtu anaagiza na smart gin ya 2000 anapiga mixer daaah
Ikifika tumboni inahamisha maini inayaweka kwenye figo nyingine inaenda kichwa cha juu inatriga button ya matusi na kuendesha bodaboda kama chizi
 
Hayo magonjwa yapo sana tu lakini sio lazima kuwa chanzo ni pombe na hizo energy drink

Hayo magonjwa yapo sana tu lakini sio lazima kuwa chanzo ni pombe na hizo energy drink
Piga lifaru john limoja mwanawane lisipotosha jazilizia na kasichana. tunaishi mara 1, hawa wanatutisha tu
 
Ndo ukweli huo. Tafuta gazeti la Mwananchi la jana Machi 15, 2024 wameandika kwa kina sana...inaonekana unywaji pombe ni tatizo sana hasa kwa Vijana, ushahidi ni ukienda wikiendi Tabata, Kitambaa, Rainbow etc
Hivi kitambaa cheupe ya tabata wameshaitengeneza baada ya kuungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…