Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kati ya vijana alioambatana nao Profesa Lipumba kuja ukumbi wa mkutano mkuu wapo ambao wametambulika kuwa wakati wa uchaguzi mkuu 2015 walitumika na Didas Masaburi katika uchaguzi wa kiti cha Ubunge Ubungo kama vijana wa kuanzisha fujo mbalimbali ikiwemo yale maandamano feki eti ya kumtaka Dr Slaa arejee nafasi yake.
Mmoja wapo aliyetambulika kwa jina moja tuu la Ayubu amekuwa akionekana mara kwa mara ofisini kwa Makonda bila kueleweka anatafuta nini.
Hii inaleta mashaka kuwa vurugu za kutaka kurejea madarakani za Lipumba ni mpango unaodhaminiwa na watu nje ya CUF na kwa makusudi maalum, ukizingatia kuwa aliachia ngazi kwa hiari yake na sio kwa kushinikizwa.