johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Natafakari tu Ayubu na Bomani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya vijana alioambatana nao Profesa Lipumba kuja ukumbi wa mkutano mkuu wapo ambao wametambulika kuwa wakati wa uchaguzi mkuu 2015 walitumika na Didas Masaburi katika uchaguzi wa kiti cha Ubunge Ubungo kama vijana wa kuanzisha fujo mbalimbali ikiwemo yale maandamano feki eti ya kumtaka Dr Slaa arejee nafasi yake.
Mmoja wapo aliyetambulika kwa jina moja tuu la Ayubu amekuwa akionekana mara kwa mara ofisini kwa Makonda bila kueleweka anatafuta nini.
Hii inaleta mashaka kuwa vurugu za kutaka kurejea madarakani za Lipumba ni mpango unaodhaminiwa na watu nje ya CUF na kwa makusudi maalum, ukizingatia kuwa aliachia ngazi kwa hiari yake na sio kwa kushinikizwa.
Na bado yule mmiliki wa meli aliyoitaifisha Magufuli ameenda mahakamani kudai bilioni saba.Tatizo sio Prof Lipumba, tatizo ni CCM na vibaraka wake... Kusudi la ccm ni kuua vyama vyote vya upinzani... CCM inatamani sana irudi maisha iliyozaliwa mwaka 1977, wakati taifa linatamani kuishi sayari mpya ya leo...
Huku Ukuta, kule Uchumi. Huku Lissu kule Kibatala. Huku nchi ya Viwanda kule kuhamia Dodoma.Huku Lugumi kule MV Dsm, Huku watumishi hewa, kule majipu.
Sahauni nchi yenye maziwa na asali