Vijana angalieni fursa hii

Vijana angalieni fursa hii

Mkuu garama za shamba na mbegu zilifikia kiasi gani? Je ni vipi uvune milion25 kwa miaka minne?
 
gharama za miche 490 tupe
mi sijanunua miche nililwenda kwa mtu ambae ana mikorosho inazaa sana nikanunua korosho kubwa kubwa nikapanda nikaenda baada ya wiki tatu ikachipua kuna baadhi kama 15 haikuchipua nikapanda tena ikachipia
 
Waambie michongo ya ngono ndio watakuelewa na sio maendeleo. Utajiri upo shambani, nguvu yako tu
 
Kwa kua umeamua kutupa dili basi fafanua vizuri ili tujue tunaanzia wapi,
Shamba umesema Milion 1
Mbegu?
Mbolea?
Palizi?
Dawa?
Muda wa kupanda?
Muda wa Mavuno?
Tupe mchanganuo mzuri tujiandae.
Akikujibu nitag
 
Yapo mazao kibao sio complicated na yana pesa ndefu. Eti mtu unahangaika na sijui mahindi, sijui mpunga. Lima mazao yenye uhakika wa kuvuna, ambayo hata wachawi hawashughuliki nayo kuyaloga
 
mi sijanunua miche nililwenda kwa mtu ambae ana mikorosho inazaa sana nikanunua korosho kubwa kubwa nikapanda nikaenda baada ya wiki tatu ikachipua kuna baadhi kama 15 haikuchipua nikapanda tena ikachipia

kuna swali hapo jamaa amekuuliza hujalijibu, kuhusu mbolea palizi nk mchanganuo wake upoje
 
Back
Top Bottom