Vijana angalieni fursa hii

Vijana angalieni fursa hii

kwa taarifa huku vijijini wanatumia mbinu zao na hawafuati kilimo cha kisasa nilitaka kufanya kilimo cha kisasa ila niksjiiza mbona hawa wanafanimiwa kjna watu wanamikorosho inazaa mpaka 60 kg kwa kila mkorosho mmoja
Hiyo ni matured sio mikorosho midogo, kuanzia miaka 10+
 
kwa taarifa huku vijijini wanatumia mbinu zao na hawafuati kilimo cha kisasa nilitaka kufanya kilimo cha kisasa ila niksjiiza mbona hawa wanafanimiwa kjna watu wanamikorosho inazaa mpaka 60 kg kwa kila mkorosho mmoja
Sio kg 60 Kuna watu Wana mikorosho inazaa mpaka gunia la kg 80,SEMA watu ni wabishi, uliyosema Mimi nakubaliana nayo, kwakuwa nami NIPO kwenye project hii ya kilimo cha korosho,ila yangu MUNGU akipenda mwaka huu ndiyo inafikisha mwaka WA nne,Nina miti ya mikorosho inakaribia 2,000,kikubwa ni kuomba uhai kwa MOLA,
 
Mikorosho kadri inavyotanuka ndio inaongeza uzalishaji na maana yake ni kila uchwao inavyokuwa inazidi uwezo wa kuzaa nadhani kwa makadirio ya kilo kati ya 5 mpaka 12 ikiwa matunzo yamezingatiwa. Uzuri ni zao lisilo na mbwembwe na lina ustahimili sana
 
Sio kg 60 Kuna watu Wana mikorosho inazaa mpaka gunia la kg 80,SEMA watu ni wabishi, uliyosema Mimi nakubaliana nayo, kwakuwa nami NIPO kwenye project hii ya kilimo cha korosho,ila yangu MUNGU akipenda mwaka huu ndiyo inafikisha mwaka WA nne,Nina miti ya mikorosho inakaribia 2,000,kikubwa ni kuomba uhai kwa MOLA,
wakulima wa google wanasumbua wanatumbishia sisi ambao tupo kwenye utekelezaji,
 
Najarbu kujiulz an heka kmi jamaa kapnda mikorosh 490 tuh n ikalet mil 25 mh
 
Leo ningependa kuwapa zawadi vijana wenzangu watizame hii fursa watakuja kunishukuru badaye.

Tatizo la vijana tulio wengi ni kuharakia maisha tunapenda kupata leo leo, jambo ambalo linapelekea kua na maisha magumu sana kila siku na tunaishia kufa maskini.

Ni wachache sana wanaofanikiwa kwa shortcut na shortcut zinatugharimu sanna kwanini usitumie hii fursa.

Maeneo ya kusini heka kumi nimenunua kwa million 1 tu.

Nilichofanya nimesafisha shamba na kupanda mikorosho 490.

Kisha nikawakatia vipande wana kijiji nikawambia limeni eneo hili bure kwa lengo la kulinda mikorosho.

mwaka jana ndio ilikua mwaka wa nne tangu nipande mikorosho, nimekwenda kuvuna korosho tani 17 na nikauza kwa bei ya elf 1500 kuwauzia serikali ambao hua na maghala ya kununua korosho karibu na shamba langu la mikorosho nimelipwa mil 25.

Nimewaza sanna tunahangaika na kutaka kukaa mjini tu ila fursa zipo na zipo nyingi zinazofanana na hizi.

Asanteni
nimefanya hivo pia mwaka juzi. nilinunua shamba eka 14. huko nanjilinji kwa sh 1.2m. nikapanda mikorosho. tatizo ni nyani nyani nyani. sijui wana shida gani wale wadudu. wanang'oa ile miti. mpaka sasa shamba halina hata mmea
 
pole itakua ulilima porini sanna
 
nimefanya hivo pia mwaka juzi. nilinunua shamba eka 14. huko nanjilinji kwa sh 1.2m. nikapanda mikorosho. tatizo ni nyani nyani nyani. sijui wana shida gani wale wadudu. wanang'oa ile miti. mpaka sasa shamba halina hata mmea
Mkuu kuna kitu kinaitwa shortgun kama ni porini kuna hao wadudu itafute ukawape tiba.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
We unalima mazao gani?
Yapo mazao kibao sio complicated na yana pesa ndefu. Eti mtu unahangaika na sijui mahindi, sijui mpunga. Lima mazao yenye uhakika wa kuvuna, ambayo hata wachawi hawashughuliki nayo kuyaloga
 
Back
Top Bottom