Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
- Thread starter
- #101
shortgud ni bunduki ndugunaomba nieleweshe kuhusu hiyo shortgun. ni dawa au nini? na inatumikaje? au ndo bunduki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shortgud ni bunduki ndugunaomba nieleweshe kuhusu hiyo shortgun. ni dawa au nini? na inatumikaje? au ndo bunduki?
Nifanyie mpango wa heka 15 nataka msimu ujao nilime karangamasasi
Naona unadanganya hapaMikorosho inataka udongo tu sio eneo, kama ni tifutifu au kichanga jilipue tu
Korosho wanaroga sanaYapo mazao kibao sio complicated na yana pesa ndefu. Eti mtu unahangaika na sijui mahindi, sijui mpunga. Lima mazao yenye uhakika wa kuvuna, ambayo hata wachawi hawashughuliki nayo kuyaloga
Panda miti ya muarobainiKorosho wanaroga sana
Iam your secret admirer, unajua kusoma behind the lines.Hatolijibu,
Ukisoma btn the lines kuna nyavu imetupwa hapo wanasubiriwa samaki wanase
Unalima na nyonyo? Unauza wap wapi soko? Unalimia wapi?Kunde,karanga,nyonyo,ufuta,dengu,choroko,nyonyo,mlonge,
hii kazi ya mtoto wangu ni mjasikia mali anafanyaNa hizo lambalamba vipi[emoji39][emoji39]? Nazo ni business nyingine mkuu
Dah! kwa maswali haya, Bora uwepo ndani ya chumba cha mtihani Kuna nafuu kidogo kuliko kujibu maswali haya, maana hata ukimpa wiki 2 nahisi hatamaliza kujibu,ila ujasiliamali ni zaidi ya mtu kuonekana mwehu,asiye na maarifa,muongo Mmoja hivi n,k, jambo la muhimu wewe shikilia hayo maono yako wasikutoe kwenye mstari, yaani wasikukatishe tamaa ,Nina mengi ila kwa bahati sio muandishi mzuriKahtan Ahmed
MA SHAA ALLAH
HAADHA MIN FAADHIL RABBY
Kama ulichosema nikweli
Mabrouq..Kiongozi [emoji122]
Nina maswali mengi kwako..naomba kujua haya yatuatayo..!!!
Maandalizi ya Shamba lako ulitumia Gharama kiasi gani kwenye kuliandaa? Kabla ya kuotesha? I mean kuanzia kufyeka Pori? Kutoa magugu? Na Parizi ni sh ngap?
Gharama za mbegu kwa hekari 1 ni sh ngap?
Gharama za uoteshaji kwa hao Vibarua/Cheap labours ni sh ngap kwa hekari 1?
Palizi baada ya kuotesha mbegu gharama zake ni sh ngap kwa heka?
Palizi inafanyika kila baada ya mda gani?
Umelima wapi eneo lako liko Wilaya gani uko Kusini?
Gharama za Usafiri kutoka Dar mpaka ulikolima izo Korosho ni sh ngap kwa bus?
Lodge za uko self contained/zenye choo ndani kwa usiku mmoja ni sh ngap?
Gharama za chakula ni sh ngap?
Lilipo Shamba na maeneo ya Lodge Sehemu ya Malazi ni Sh ngap kwa usafiri Maarufu wa Bodaboda?
Umekutana na changamoto gani kabla ya kuotesha na baada ya kuotesha?
Uliwezaje kutatua changamoto ulizokutana nazo ndani ya hiyo miaka 4?
Ndani ya hiyo miaka 4 ulitumia Gharama ya Sh ngap kabla ya mavuno?
Samahani kwa Maswali mengi naomba unijibu Kiongozi kwa faida ya wengi [emoji120]
Wow hongera zake , inaonekana ni nzuri sana😋hii kazi ya mtoto wangu ni mjasikia mali anafanya
Hongera sanaunapanda miwili miwili kwa kila sehemu usipande mmoja
Bunduki sheikh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]naomba nieleweshe kuhusu hiyo shortgun. ni dawa au nini? na inatumikaje? au ndo bunduki?
nimeshajibu maswali haya soma commentHapa Tanzania ndio blessed country among blessed countries.
Kigoma Kuna chikichi na Korosho na ardh ipo
Dodoma Kuna zabibu na ardhi iipo
Nyanda za juu kusini Kuna Parachichi na ardhi ipo
Kusini Kuna Korosho na ardhi ipo
Morogoro Kuna machungwa maembe na ardh ipo
Tanga Kuna matunda na ardhi ipo
Morogoro Kuna mkonge na ardhi ipo
Morogoro Kuna mitiki na ardhi ipo
Njombe Kuna miti ya mbao na ardhi ipo
Moshi Kuna ndizi ardhi adimu
Bukoba Kuna ndizi na ardhi sijui
Rungwe Kuna ndizi ardhi sio kubwa.
Pwani Kuna minazi na machungwa na ardhi ipo.
It only need time risk, focus and persistance.
Waache waendelee kzurura na mikanda, mitumba nk huku utajiri wameuacha kijini kwao.
Nimeunga tu mkono hoja, sijapinga kitu.nimeshajibu maswali haya soma comment
nimefanya hivo pia mwaka juzi. nilinunua shamba eka 14. huko nanjilinji kwa sh 1.2m. nikapanda mikorosho. tatizo ni nyani nyani nyani. sijui wana shida gani wale wadudu. wanang'oa ile miti. mpaka sasa shamba halina hata mmea
Sasa kiongozi tupe faida Basi,naona umetuacha njia panda, inawezekana ikawa ni watu kweli hao wanaong'oa hiyo mikorosho,, mpe njia ,Sasa afanyeje Ili asichanganyikiwe,? na project iendelee,tafadhari kiongoziSio nyani watu hao mkuu...?