instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Shule ipi ambayo haina walimu ? Nitajie jina la shule inbox.... otherwise wewe ni muongo mkubwa ...Tanzania Ina ziada ya walimuShule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.
Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.
Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
Mbowe alipata zero shule na alikuwa mwenyekiti wako miaka yoteAdmin, Tafadhari ondoa majitu senge kama huyu! watu wanajadilöi maisha ya watu lenyewe linahangaikia nyuma yake. Elimu ya nchi hii ingekuwa nzuri, tusingekuwa na wajinga kama huyu.
Huyu ni kiazi hawezi kukuelewq limtu linalishwa na shemeji litaelewa niniShule ipi ambayo haina walimu ? Nitajie jina la shule inbox.... otherwise wewe ni muongo mkubwa ...Tanzania Ina ziada ya walimu
Mi nataka kuandamana na Bi EdaKwanini usiandamane wewe na mumeo kwanza? Acha uchochezi wa kipumbavu.
Argument zako zinaonesha kabisa elimu yako ndogo sanaShule ipi ambayo haina walimu ? Nitajie jina la shule inbox.... otherwise wewe ni muongo mkubwa ...Tanzania Ina ziada ya walimu
Taja Jina la shule ambayo Haina walimuArgument zako zinaonesha kabisa elimu yako ndogo sana
Ulitaka nan akae paleKuna wizara za kuchezea ila sio wizara ya elimu sasa tz wizara ile wapo kina wanu hao ndio walio beba vision ya elim ya tz kwa sasa.. Kuna wakati hua nacheka tu nikifikira mawaziri tulio nao kila sekta ni hovyo
Ulitaka nan akae pa
Wenye uwezo wa kuleta mabadiliko na wasomi kweli kweliUlitaka nan akae pale
We ni nyumbuWenye uwezo wa kuleta mabadiliko na wasomi kweli kweli
Haya ongea wewe uliyeshiba ugali wa mumeo.Ukishiba ugali wa shemeji yako unakuja kubwabwaja humu
USSR
Kwa hiyo Cha maana ni nyuzi zako za kingese unazopandisha hapa jukwaani ukishashiba posho za walipa kodi hapo Lumumba!? F_ck you.NONSENSE
hakuna haja ya makasiriko wala mihemko nonsense dhidi ya wenye maoni tofauti na yako gentleman,Kwa hiyo Cha maana ni nyuzi zako za kingese unazopandisha hapa jukwaani ukishashiba posho za walipa kodi hapo Lumumba!? F_ck you.
Asante kwa matusi ... Na km unaona elimu ya tanzania iko sawa haina haja ya kukuelewesha.We ni nyumbu
Mtaje jina
Tatizo watz ni mabingwa wa kulalamika na kulia lia pumbavu
Ukimwambia toa solution au mbadala wake hana
Sasa msitupangie tutapanga wenyewe chakufanya
Le tombee' maladeAnother stupid contributor!
Es-tu sain d’esprit ? Sais-tu comment la Terre tourne ? Tu dois vraiment manquer de jugeote.
Duuuuhlenyewe linahangaikia nyuma yake
NomaLe tombee' malade
SanaNoma
Sio poa yaan nimejaribu kuelewa sijaelewa kumbe ni Google translatorWewe k♡ma una pigo za kifala sana. Sasa kuandika kifaransa hapo cha google translator unataka ku-prove nini?
Jamaa junga mno lenyew ndio linalolala kwa shemeji ake...Admin, Tafadhari ondoa majitu senge kama huyu! watu wanajadilöi maisha ya watu lenyewe linahangaikia nyuma yake. Elimu ya nchi hii ingekuwa nzuri, tusingekuwa na wajinga kama huyu.