Vijana anzeni Maandamano kama Ufaransa. Wizara ya Elimu inahitaji Viongozi wapya

Zygot

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
2,319
Reaction score
3,128
Shule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.

Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.

Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
 
Ukishiba ugali wa shemeji yako unakuja kubwabwaja humu

USSR
 
NONSENSE :1Head:
 
Udhaifu wa Mkenda unatokana na aliyemteua alivyo. Huwezi kuruhusu mtu kama huyu kuendelea kubakia wizara kama hii. Nasikia pale sasa kuna colabo ya ukabila. Au ni uharibifu tunaofanyiwa bara?

Vyuo vikuu viko hoi! Wale tunaoijua UD, kweli inastahili kuongozwa na VC wa aina ile iliyopo? Pale SUA sijui kuna kiumbe gani! Nasikia sasa wanalazimisha vijana kuhudhuria sherehe za graduation. Yaani sherehe! Wanalazimika wanafunzi kulipia gharama kabla hata hajamaliza masomo, na asipolipa hapati usajili wa mwaka wa tatu! Hicho kweli ni chuo? Kwanni graduation ni sherehe na majoho?
 
Kuna wizara za kuchezea ila sio wizara ya elimu sasa tz wizara ile wapo kina wanu hao ndio walio beba vision ya elim ya tz kwa sasa.. Kuna wakati hua nacheka tu nikifikira mawaziri tulio nao kila sekta ni hovyo
 
ndio maana nilikuja nayo. msingi hapa TZ sio Ulaya
 
Shule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.

Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.

Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
Acha kushinda Jamii forum ili na wewe uwapeleke watoto shule za English medium.
Umebwabwaja nonsense
 
Shule za serikali zimetelekezwa. Walimu hakuna, maabara hakuna, hata madawati hakuna. Watoto wa viongozi wako shule za binafsi, zenye mazingira mazuri. Wanaoshinda vizuri ni wale waliosoma shule za binafsi au waliokwenda form 5 tokea shule za binafsi.

Ujinga wa wizara imeanza kusomesha watoto walioshinda vizuri nje ya nchi kwa kisingizio cha taaluma fulani. Hizo ni bhla! Bhla! Ni upendeleo kwa wenye nacho. Inatakiwa wanafunzi waandamane kupinga ujinga wa wizara hii. Hakuna sababu ya kusomeshwa nje ya nchi wakati ndani ya nchi tuna vyuo.

Elimu iwekwe sawa ktk shule za serikali. Tusitafute mwanya wa kupendelea kundi moja. Kibaya zaidi Waziri analeta mambo ya enzi ya Elinawinga. Upendeleo wa kikabila umeanza kusikika wizarani ktk kutoa hiyo inayoitwa Samia Scholarship.
Tangulia mbele dada

Sio unachochea vijana
 
Kuandamana sijui...

Lakini ukiangalia kuna sababu za msingi za kupinga mfumo wa uendeshaji wa elimu nchini.

Kuanzia elimu ya msingi namadufu yanayofanyika ikiwemo mtihani wa kitaifa wa darasa la pili. Hawa watoto unawapima ili upate nini?

Twende sekondarri sasa, wakati ukidai sshule hazina walimu, madarasa, vitabu nk( ambao ndio ukweli), magoli yamepanuliwa vilivyo division one za kufuru ila kichwani hauoni chochote.

Kuingia chuo kikuu, hiyo inayoitwa mikopo, kuipata mpaka tambiko. Wakati ni mikopo, huku wengine wakipewa hiyo scholarship unayoitaja bila vigezo kuwekwa waxi.
Na wakitoka chuo, nini kinafuata, waende veta au wakajiajiri!

Nia sijui kama ipo, ila sababu zipo za kutosha na kuhusu uwezo, hilo nakuachia.
 
Kuna wizara za kuchezea ila sio wizara ya elimu sasa tz wizara ile wapo kina wanu hao ndio walio beba vision ya elim ya tz kwa sasa.. Kuna wakati hua nacheka tu nikifikira mawaziri tulio nao kila sekta ni hovyo
Kwa ujumla wasioona udhaifu wa wizara hii, nao pia ni tatizo. Elimu yetu imekufa, na hakuna msaada. Kuna watu hapa wanatetea kwa sababu waziri ni kabila lao. wanahisi mwenzao anasemwa.
 
Back
Top Bottom