Vijana anzeni Maandamano kama Ufaransa. Wizara ya Elimu inahitaji Viongozi wapya

Vijana anzeni Maandamano kama Ufaransa. Wizara ya Elimu inahitaji Viongozi wapya

Ubora wa shukle za serikali unaanzia hapa:
Primary - Copy.JPG
 
Ufaransa mpaka leo hii pamoja na fujo zote hizo wamekufa watu wawili tu. Huku kwetu katika siku 3 waliuliwa maelfu ya raia. Huwezi pigana kwa mawe na aliyeshika bunduki mkuu. Nasisi tukiwa na bunduki ndiyo mechi inakuwa na usawa Mbali na hapo usiwaponze Watanganyika
 
Unajua maana ya Typoglycemia effect? Jaribu kusoma sentensi ifuatayo. Ukishindwa ni uthibitisho unapoteza muda JF, rudi darasani:
It deosn’t mttaer in waht oredr the ltteers in a wrod are
Hiyo ni lugha gani mkuu
 
hakuna haja ya makasiriko wala mihemko nonsense dhidi ya wenye maoni tofauti na yako gentleman,

siasa sio matusi wala makasiriko unless wewe ni kibwengo mvamizi wa siasa ukadhani ni kuhubiri injili 🐒
Makocho nyie eti "siasa sio matusi" ila ni kutekana na kupeana kesi za michongo kupitia majeshi yenu mnayoyamiliki. F_ck You.
 
Back
Top Bottom