Vijana anzeni Maandamano kama Ufaransa. Wizara ya Elimu inahitaji Viongozi wapya

Acha kushinda Jamii forum ili na wewe uwapeleke watoto shule za English medium.
Umebwabwaja nonsense
Samahani, wewe pia una digrii? Ulikopa bodi ya Mikopo ya elimu? unaambiwa umehitimu?
Basi fahamu kwamba unalipa mkopo bila sababu maana hukuelimika.
 
Ufaransa mpaka leo hii pamoja na fujo zote hizo wamekufa watu wawili tu. Huku kwetu katika siku 3 waliuliwa maelfu ya raia. Huwezi pigana kwa mawe na aliyeshika bunduki mkuu. Nasisi tukiwa na bunduki ndiyo mechi inakuwa na usawa Mbali na hapo usiwaponze Watanganyika
 
Unajua maana ya Typoglycemia effect? Jaribu kusoma sentensi ifuatayo. Ukishindwa ni uthibitisho unapoteza muda JF, rudi darasani:
It deosn’t mttaer in waht oredr the ltteers in a wrod are
Hiyo ni lugha gani mkuu
 
hakuna haja ya makasiriko wala mihemko nonsense dhidi ya wenye maoni tofauti na yako gentleman,

siasa sio matusi wala makasiriko unless wewe ni kibwengo mvamizi wa siasa ukadhani ni kuhubiri injili 🐒
Makocho nyie eti "siasa sio matusi" ila ni kutekana na kupeana kesi za michongo kupitia majeshi yenu mnayoyamiliki. F_ck You.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…