Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choo ndani kwa ndani ,yaani self containerTukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
Wewe unaionaje hii?Siyo chai kwa matembele kweli?😂😂😂😂Aisee 😃😃🤔
Hawana "ngao ya jamii"?Chuga kuvuliwa ubingwa kumeanza kujibu kmmmk. Na bado
Hii ni chai kwakweli 😂😂😂,, labda aweke picha 😃Wewe unaionaje hii?Siyo chai kwa matembele kweli?😂😂😂😂
Breki pampersHawana "ngao ya jamii"?
Nimepata mshangao sana.Au ni boxer ya pamba nzito?🤔Hii ni chai kwakweli 😂😂😂,, labda aweke picha 😃
Nashindwa kuimagine hapa😃😂😂😂Nimepata mshangao sana.Au ni boxer ya pamba nzito?🤔
Cc Arushaone Chaliifrancisco Stroke Bushmamy kujeni hukuTukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?