Vijana Arusha kuvaa Diapers/Pampers Ni fashion mpya?

Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
Pichisha tuone
 
Athari za tourism Kwa jamii

Anakuja mzugu anakupa Dola unabinywa ,kwamba Leo TU kumbe anakuachia kilema wakuendeleza alipoishia hayupo

Anajikuta ghafla mikononi mwa mzungu mweusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had bas, woiiiiiiiiih
Hakuna Gay anafikia hatua ya kuvaa diapers na yupo normal, labda homa ingine
 
Hili lijinga ni lishoga, linatetea ushoga uonekane ni jambo la kawaida, linajificha huku kwasababu halionekani, fara we
 
Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
Mkuu wewe ndiye uliyeiona hiyo pampers ilivyokaa halafu tena unatuuliza sisi ya kwamba imekaaje!! Sisi hatukuiona ilivyokaa
 
Iringa mashoga wengi mno
 
Hili lijinga ni lishoga, linatetea ushoga uonekane ni jambo la kawaida, linajificha huku kwasababu halionekani, fara we
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee sanaaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…