Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Vijana wasiojielewa wa Uvccm kama wewe bila shaka ndiyo uliomaanisha! Ila siyo wale wahitimu wa vyuo waliokosa ajira na wakati huo huo wakiendelea kulimbikiziwa riba kandamizi ya 6% kila mwaka na Bodi ya Mikopo.

Nipo zanzibar watu watu na simu zao wanasikiliza tu Lisu.
Siasa za majukwaani jamaaa amemaliza
Ni wakati wa kwenda sasa kwenye mipango
Tarring center
Na mbinu kabambe za kiundava undava
 
Kwa mujibu wa Tafiti Mbali Mbali nchini na nje ya Nchi Vijana Wana Imani Kubwa na Rais wa Sasa Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa 85%.....Hii Ni kutokana na Vijana wengi wameajiriwa kwenye Miradi MINGI mikubwa aliyoianzisha Rais Dkt MAGUFULI... Lakini pia Vijana wengi wasomi wamepata Ajira za kitabibu na pia wanaona muelekeo wa Ujenzi wa Bwawa Kubwa la kuzalisha umeme, utakaosaidia kujenga Viwanda vingiiiiii na Hiyo itasaidia Kupata Ajira kwa Vijana waliosoma na wasiosoma.....Pia pembejeo na madawa ya kilimo upatikanaji wake upo kiwepesi serikali inafikisha kwa wakati..... Lakini Kubwa Vijana wanamkubali JPM kwa Kuwa amewaepusha na Gonjwa la KORONA....No Lockdown aiseee Kama Nchi jirani wanateseka.
 
Labda kama hao vijana ni wachawi maana sisiemu inapendwa na wazee, vijana wachawi na wajinga tu basi
 
Vijana wapo tayari kumpa kura Dr. Magufuli, Mama Samia kwa awamu nyingine tena.
 
Labda kama hao vijana ni wachawi maana sisiemu inapendwa na wazee, vijana wachawi na wajinga tu basi
 
Unafiki na kujipendekeza ni tatizo , unachokitafuta hutokipata mind your own Business bro
Hapa umechangia nini?, Politics ni biashara ya nani?
 
Vinaja tupo na jpm kama kawaida mitano tena
Tutamuongezea na JERO ya shukrani😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hizo pesa mbunge hawezi kuzitoa hata alie na kusaga meno! kama mkurugenzi na mweka hazina wa halmashauri hawajaridhia!! wao ndio wanaweza kutoa wakitaka au kwa maelekezo toka juu!! Je hili unalielewa?
Huu ni uongo wa kiwango cha banda la kufugia nguruwe, onesha ni mbunge yupi alinyimwa, alipangiwa matumizi ama alicheleweshwa kuchukua fedha hizo. Hakunaaaa
 
Hii ya pesa ya jimbo ililetwa na Rais JPM katika kuchafua wabunge wa Upinzani. Hizi pesa zinakwenda kwenye baraza la madiwani na kupangiwa shughuli na sio kama mbunge anapewa akatanua na vimada
Uliona wapi madiwani wanapangia mipango mfuko wa jimbo?
 
Uliona wapi madiwani wanapangia mipango mfuko wa jimbo?
Ndio kwa sababu Mbunge ni Diwani pia. Kabla hamjavuruga mambo ilikuwa kwamba hiyo pesa ilija madiwani wanapiga kura kuchagua ikafanye mradi gani.

Ulishawahi kusikia CAG kalamikia matumizi mabaya ya mfuko wa jimbo?
 
Ndio kwa sababu Mbunge ni Diwani pia. Kabla hamjavuruga mambo ilikuwa kwamba hiyo pesa ilija madiwani wanapiga kura kuchagua ikafanye mradi gani
Hilo halijawahi kutokea popote
 
Sawa sawa. Nenda kafanye utafiti kisha urudi.
Nikafanye utafiti wapi?. Nakuambia with 100% confidence and evidence. Acha story za vijiweni. We work with facts
 
Back
Top Bottom