Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Weka evidence!
Nenda kwenye duka la vitabu vya serikali ukanunue vitabu vya kanuni za uendeshaji wa mabaraza ya madiwani, mimi natumia kanuni hizo kwenye utendaji wangu wa siku za kazi
 
Nenda kwenye duka la vitabu vya serikali ukanunue vitabu vya kanuni za uendeshaji wa mabaraza ya madiwani, mimi natumia kanuni hizo kwenye utendaji wangu wa siku za kazi
Hiyo ndiyo evidence?
 
Huu ni uongo wa kiwango cha banda la kufugia nguruwe, onesha ni mbunge yupi alinyimwa, alipangiwa matumizi ama alicheleweshwa kuchukua fedha hizo. Hakunaaaa
Mm mwenyew namshangaa huyu jamaa maan cjawah kuwah kuona wabunge wakilalamika kuwa wananyimwa hela za mifuko ya jimbo na wakurugenzi wa halmashauri 🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom