Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.
Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote wakitofautiana na kutoana kamasi bila kuoneana aibu.
Ni mara nyingi tumekuwa tukiwaasa vijana wenzetu muachane na hiki chama cha makanjanja wanaotumia migongo yenu kujipatia riziki kwa kujichotea ruzuku na kujikopesha mamilioni kila kukicha na sasa mmeanza kuona wenyewe tuliyowaambia. Mimi niliyaona haya muda mrefu na nikakimbia mapema kabisa na sasa niko nyumbani ambako hakuna ukabila, udini wala ukanjanja.
Ni ushauri wangu tu kwa vijana muondoke huko kbla hamjakuja patwa na stress au mishtuko mikubwa hapo 2015 wakati wenyewe wenye chama wameishajichotea mihela ya kutosha. Na toka wachaguliwe hakuna wanachokifanya zaidi ya kuwapelekesha kwenye vurugu na maandamano ambayo sasa wameona mmeshtuka waemeanza katabia ka kuzira bunge na kuzushia watu vifo.
Sio lazima urudi CCM, unaweza kwenda NCCR MAGEUZI, ACT nk... ondokeni huko kabla hamjapigwa vitofa.
SAA YA KUJITAMBUA NI SASA...