VIJANA, CHADEMA inawapoteza, rudini CCM au jiungeni na vyama vya upinzani visivyo vya kitapeli

Kweli chadema ni kiboko ya magamba. ...na bado mtaisoma number. .huku chadema. ..kule ukawa inaitwa ttwanga kote kote hahaha
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.

Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote wakitofautiana na kutoana kamasi bila kuoneana aibu.

Ni mara nyingi tumekuwa tukiwaasa vijana wenzetu muachane na hiki chama cha makanjanja wanaotumia migongo yenu kujipatia riziki kwa kujichotea ruzuku na kujikopesha mamilioni kila kukicha na sasa mmeanza kuona wenyewe tuliyowaambia. Mimi niliyaona haya muda mrefu na nikakimbia mapema kabisa na sasa niko nyumbani ambako hakuna ukabila, udini wala ukanjanja.

Ni ushauri wangu tu kwa vijana muondoke huko kbla hamjakuja patwa na stress au mishtuko mikubwa hapo 2015 wakati wenyewe wenye chama wameishajichotea mihela ya kutosha. Na toka wachaguliwe hakuna wanachokifanya zaidi ya kuwapelekesha kwenye vurugu na maandamano ambayo sasa wameona mmeshtuka waemeanza katabia ka kuzira bunge na kuzushia watu vifo.

Sio lazima urudi CCM, unaweza kwenda NCCR MAGEUZI, ACT nk... ondokeni huko kabla hamjapigwa vitofa.

SAA YA KUJITAMBUA NI SASA...
editoon.jpg

Jua yako tuache na CHADEMA yetu, mbona hiki chama kinawanyima usingizi kiasi hiki?
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mtaa-ccm-aiba-jeneleta-la-mwananchi-wake.html
Huko mnakoiba mali ya wananchi ndo unataka tuje?????
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.

Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote wakitofautiana na kutoana kamasi bila kuoneana aibu.

Ni mara nyingi tumekuwa tukiwaasa vijana wenzetu muachane na hiki chama cha makanjanja wanaotumia migongo yenu kujipatia riziki kwa kujichotea ruzuku na kujikopesha mamilioni kila kukicha na sasa mmeanza kuona wenyewe tuliyowaambia. Mimi niliyaona haya muda mrefu na nikakimbia mapema kabisa na sasa niko nyumbani ambako hakuna ukabila, udini wala ukanjanja.

Ni ushauri wangu tu kwa vijana muondoke huko kbla hamjakuja patwa na stress au mishtuko mikubwa hapo 2015 wakati wenyewe wenye chama wameishajichotea mihela ya kutosha. Na toka wachaguliwe hakuna wanachokifanya zaidi ya kuwapelekesha kwenye vurugu na maandamano ambayo sasa wameona mmeshtuka waemeanza katabia ka kuzira bunge na kuzushia watu vifo.

Sio lazima urudi CCM, unaweza kwenda NCCR MAGEUZI, ACT nk... ondokeni huko kabla hamjapigwa vitofa.

SAA YA KUJITAMBUA NI SASA...
editoon.jpg
Laana ya kula rambi rambi ya Marehemu Mwangosi bado inakutafuna wewe mla mbwa
 
Yaani, chadema iwe chama cha kitaperi! Ccm itakuwaje!? Mavi ya, uharo!
Kabla ya, chadema, ilikuwepo nccr mageuzi, ikaja cuf, udini ukaipoteza!
Chadema nu tishio kwa majizi, ya ccm,
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.

Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote wakitofautiana na kutoana kamasi bila kuoneana aibu.

Ni mara nyingi tumekuwa tukiwaasa vijana wenzetu muachane na hiki chama cha makanjanja wanaotumia migongo yenu kujipatia riziki kwa kujichotea ruzuku na kujikopesha mamilioni kila kukicha na sasa mmeanza kuona wenyewe tuliyowaambia. Mimi niliyaona haya muda mrefu na nikakimbia mapema kabisa na sasa niko nyumbani ambako hakuna ukabila, udini wala ukanjanja.

Ni ushauri wangu tu kwa vijana muondoke huko kbla hamjakuja patwa na stress au mishtuko mikubwa hapo 2015 wakati wenyewe wenye chama wameishajichotea mihela ya kutosha. Na toka wachaguliwe hakuna wanachokifanya zaidi ya kuwapelekesha kwenye vurugu na maandamano ambayo sasa wameona mmeshtuka waemeanza katabia ka kuzira bunge na kuzushia watu vifo.

Sio lazima urudi CCM, unaweza kwenda NCCR MAGEUZI, ACT nk... ondokeni huko kabla hamjapigwa vitofa.

SAA YA KUJITAMBUA NI SASA...
editoon.jpg
Nafikiri ni kudanganyana tu maana kama ni barafu ni barafu Gani hii haiyeyukagi Miaka zaidi ya saba pamo jana kunyimwa kufanya Sasa muda woteule?
 
Back
Top Bottom