Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.
Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote wakitofautiana na kutoana kamasi bila kuoneana aibu.
Ni mara nyingi tumekuwa tukiwaasa vijana wenzetu muachane na hiki chama cha makanjanja wanaotumia migongo yenu kujipatia riziki kwa kujichotea ruzuku na kujikopesha mamilioni kila kukicha na sasa mmeanza kuona wenyewe tuliyowaambia. Mimi niliyaona haya muda mrefu na nikakimbia mapema kabisa na sasa niko nyumbani ambako hakuna ukabila, udini wala ukanjanja.
Ni ushauri wangu tu kwa vijana muondoke huko kbla hamjakuja patwa na stress au mishtuko mikubwa hapo 2015 wakati wenyewe wenye chama wameishajichotea mihela ya kutosha. Na toka wachaguliwe hakuna wanachokifanya zaidi ya kuwapelekesha kwenye vurugu na maandamano ambayo sasa wameona mmeshtuka waemeanza katabia ka kuzira bunge na kuzushia watu vifo.
Sio lazima urudi CCM, unaweza kwenda NCCR MAGEUZI, ACT nk... ondokeni huko kabla hamjapigwa vitofa.
SAA YA KUJITAMBUA NI SASA...
![]()

Mbona nipo sana mkuu?Huyu mbona hasikiki nowadays????
Upo kimya baada ya kutambua ukweli.Mbona nipo sana mkuu?
Upo kimya sana ndugu, tofauti na hapo nyuma ulikuwa wa motoMbona nipo sana mkuu?
Laana ya kula rambi rambi ya Marehemu Mwangosi bado inakutafuna wewe mla mbwaNdugu zanguni,
Kama mjuavyo, siku zinavyozidi kwenda ndio Chadema inavyozidi kuyeyuka kama barafu kwenye jua kali.
Wengi tumeshuhudia matamko kila kukicha kutoka kwa makamanda na viongozi, wote wakitofautiana na kutoana kamasi bila kuoneana aibu.
Ni mara nyingi tumekuwa tukiwaasa vijana wenzetu muachane na hiki chama cha makanjanja wanaotumia migongo yenu kujipatia riziki kwa kujichotea ruzuku na kujikopesha mamilioni kila kukicha na sasa mmeanza kuona wenyewe tuliyowaambia. Mimi niliyaona haya muda mrefu na nikakimbia mapema kabisa na sasa niko nyumbani ambako hakuna ukabila, udini wala ukanjanja.
Ni ushauri wangu tu kwa vijana muondoke huko kbla hamjakuja patwa na stress au mishtuko mikubwa hapo 2015 wakati wenyewe wenye chama wameishajichotea mihela ya kutosha. Na toka wachaguliwe hakuna wanachokifanya zaidi ya kuwapelekesha kwenye vurugu na maandamano ambayo sasa wameona mmeshtuka waemeanza katabia ka kuzira bunge na kuzushia watu vifo.
Sio lazima urudi CCM, unaweza kwenda NCCR MAGEUZI, ACT nk... ondokeni huko kabla hamjapigwa vitofa.
SAA YA KUJITAMBUA NI SASA...
![]()
Yaani, chadema iwe chama cha kitaperi! Ccm itakuwaje!? Mavi ya, uharo!Ndugu zanguni,

Nafikiri ni kudanganyana tu maana kama ni barafu ni barafu Gani hii haiyeyukagi Miaka zaidi ya saba pamo jana kunyimwa kufanya Sasa muda woteule?Ndugu zanguni,