VIJANA, CHADEMA inawapoteza, rudini CCM au jiungeni na vyama vya upinzani visivyo vya kitapeli


Role model wa vijana kutoka upinzani ni kina Shonza,Mwampamba, Tambwe Hizza and the like.Mafanikio yao kisiasa,kijamii na kiutamaduni na kiuchumi tangu wajiunge na CCM bado hayajaonekana. TUnaSUbiRI.
 
hiyo barafu isiyokwisha ni ya antaktic au mbona mnasumbuka ivyo na chadm zungumzia vijana 11,000 kwenda kugombea nafasi 70 za uhamiaji apo ndo tutakuelewa suala la kuhamia ccm litatupatia ajila ?ivi mnakaa ulaya ipi ambayo haiwafanyi kufikiri tofauti
Ina maana huna macho au?

Huoni chama kinavyopotea ,paka inabidi kisafirie nyota ya UKAWA?
 
Hey lukosi, Je umeonana na wasira, shonza, kinana, na ff hivi karibuni? Nafikiri walikutumia picha yao ya pamoja!
 
Mungu nisadie mimi na kizazi changu tuichukie ccm kama ninavyo ichukia maisha yetu yote na asitokee mtu kwenye kizazi changu akaipenda ccm na mwenyezi Mungu unisaidie ameni Mungu Ibariki Cdm Mungu Ibariki Tanganyika
 
Mbona wewe tangu urudi sisi M hujabadilika? Mbona umeshindwa hata kurudi toka ulaya?
 

Wewe sio raia wa Tanzania ulitukimbia na shida ukachukua uraia wa wakoloni, Tuache na nchi, sisi ndio tunajua wapi bora. Raia wa kigeni haruhusiwi kupiga kura wala kupigiwa kura hivyo hujui chaguzi zetu.

Wazalendo tupo na nchi yetu mpaka mwisho.
 

naipenda sana chadema. Now and for always!
 

Chris Lukosi

Huyo mzee aliyemwaga radhi mbele ya makamanda ni nani!
 
Last edited by a moderator:
Ushauri Mzuri ila ni vigumu misukule kukuelewa! Mpaka yawakute ya kuwakuta hapo 2015.

We mtunza kinyesi! Hakika CHADEMA ni chama cha kikombozi kwani kimeitoa jamii katika kundi la MISUKULE hadi sasa tunajitambua hatupelekeshi kwa kudumisha fikra za mwenyekiti watu sasa wanajua kuihoji serikali. Ahsante harakati za Wana CHADEMA endelezeni mapambano. Hatudanganyiki ng'o!
 

...ina maana NCCR na ACT mshiko wa ESCROW nako huwa mnaupeleka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…