Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Hiyo mashine inatoa mafuta kama upo Petrol Station.Ukisafiri mkoani, utakuwa vijana wengi wanauza wese kwenye makopo. Maarufu kama kidebe. Wanauza mpaka 4000 kwa lita.
So far serikali hawahangaiki nao. Sasa ngoja usikie muuza wese la kidebe amefunga na pump na kawawekea kivuli wateja wake...kesho tu Ewura hawa hapa
Issue ni sheria na regulations zinazoguide iyo sector. Kuna taratibu za kiusalama pia kuna taratibu za kimazingira. Pia kwasasa lazima pump zote ziwe intergrated na mfumo wa EFD.Hiyo mashine inatoa mafuta kama upo Petrol Station.
Serikali wabuni tu namna ya kukusanya kodi basi; ushindani wa kibiashara waachie wafanyabiashara.
Natamani kuona wese linapatikana maeneo yote. Kikubwa kijana utembee na "fire extinguisher" kwa kuboresha usalama wa biashara yako.
Brother kwenye EFD unaweza unganisha na maisha yakaenda vizuri tu.Issue ni sheria na regulations zinazoguide iyo sector. Kuna taratibu za kiusalama pia kuna taratibu za kimazingira. Pia kwasasa lazima pump zote ziwe intergrated na mfumo wa EFD.
Upo sahihi.mh kwa hali ilivyo sidhani kama wataruhusu hii kitu kuhofia nyakati kama zile zikijirudia italeta hatari kwao kuweza idhibiti kama walivyo dhibiti boda boda kuweza pata hudumuma na watu wa mafuta ya videbe. ila kibiashara ni wazo zuri mana itakuwa msaada kwa wale wenzangu tuliozoea videbe ambavyo popote gari gari inazima hata kati kati ya foleni.
Tutaboresha usalama wa hii bidhaa.Sasa security ikoje na hiyo ni highly inflammable liquid!
Haina noma wacha tuishi humo humo.Ni nzuri na serikali haina shida ila vigezo na masharti lazima yazingatiwe.
Rushwa!Tutaboresha usalama wa hii bidhaa.
Kibwagizo:
1. Ukumbuke hata namna tunavyojaza mafuta katika vyombo vya moto hupaswi kuwa ndani au juu ya chombo husika wakati wa ujazaji mafuta aidha Gari, Pikipiki au Bajaji ila ukiwa field maisha ni tofauti (ina maana tumekataa kuchelewa kiuchumi upande huo)
2. Vituo vya mafuta havipaswi kuwepo karibu na makazi ya watu (ila kutokana na changamoto zetu hili tumelikataa kabisa).
3. Tuwaache vijana wafanye biashara.
Mbona Kuna Ya Videbe Mtaani Kwani Sekyuriti Ikoje Kwa Sasa...???Sasa security ikoje na hiyo ni highly inflammable liquid!
Wale ndugu wauza wese wanaojipanga barabarani au ndani ya miji huko mfano Tabora, Kigoma na Shinyanga ambapo huduma za Petrol Station ni hafifu!.kibiashara hapana ndugu huu ni malumu kwa watu wenye mashamba makubwa yenye wafanyakazi na vyombo vinavyotumia mafuta