David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Leo kulikuwa na usaili unafanyika katika taasisi fulani kubwa ya Marekani, vijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo.
CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa kitu kidogo tu.
CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa kitu kidogo tu.