David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Ulisikia wapi mtu aliepigiwa PASI anajua kujieleza anajua akieleza VYOVYOTE kazi hakosivijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo.
Dah we unajua aisee, mpaka unaijua Hiyo ya kupokelea simu😃😄🤒
Mkuu naomba konekisheniLeo kulikuwa na usaili unafanyika katika taasisi fulani kubwa ya Marekani, vijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo.
CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa kitu kidogo tu.
Dah sisi was bushy, tuta kuwa wafalme wa usingle Sasa😄😃🤒dah, hivi vibinti vya 2000s kama hujui kiingereza hutongozi,