Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja kama hizi ziachie kwenu moshi na kwa babu yako marangu.Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
JKT ni kwa Mujibu/Faida ya Taifa hili na si vinginevyo !!
Unatamani KuCamerooniwa eti? Vyama na JKT wapi na wapi P..U ..MB...U WEWE.
Umenilazimisha kuandika utumbo.😕
Hatupo jukwaa la utani hapa. Unaweza kufanyiwa hivi muda si mrefu.We ndo mjinga kabisa we hujui jkt ni mradi wa CCM kukwapua pesa kwa kigezo kuwa zilitumik jkt
Wanawake ndio wanaoteseka kuliko wanaume! udhibiti wa maafande kuwalala wanawake bado haujafanyiwa kazi. Nidhamu ya zinaa ipo pale pale na wanawake huziniwa sana ili wasisote kirahisi. Serikali idhibiti kwanza uhuni wa maafande kuwazini hovyo wasichana ndipo ijue kuwapeleka JKT vijana.We ndo mjinga kabisa we hujui jkt ni mradi wa CCM kukwapua pesa kwa kigezo kuwa zilitumik jkt
Wanawake ndio wanaoteseka kuliko wanaume! udhibiti wa maafande kuwalala wanawake bado haujafanyiwa kazi. Nidhamu ya zinaa ipo pale pale na wanawake huziniwa sana ili wasisote kirahisi. Serikali idhibiti kwanza uhuni wa maafande kuwazini hovyo wasichana ndipo ijue kuwapeleka JKT vijana.