Vijana gomeni kwenda JKT haina tija kwa Taifa.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.
 
Hoja kama hizi ziachie kwenu moshi na kwa babu yako marangu.
 
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.

Kama Kagame kakutuma, mshindwe na mlegee. Hakuna mwana CHADEMA mwenye mawazo finyu na hasi namna hii na wala mwana CCM Hawezi kujidharirisha kama ulivyofanya............umefilisika hiloooooooooooooooo! JKT tutaenda na watoto wetu lazima waende tu..
 
JKT ni kwa Mujibu/Faida ya Taifa hili na si vinginevyo !!
 
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.

Unatamani KuCamerooniwa eti? Vyama na JKT wapi na wapi P..U ..MB...U WEWE.

Umenilazimisha kuandika utumbo.😕
 
Ina faida gani? yaani vijana waache kusoma wapelekwe jkt ili iweje,kama ni suala la uzalendo linatoka ndani ya moyo wa mtu na si jkt elimu kwanza jkt baadae.
 
Unatamani KuCamerooniwa eti? Vyama na JKT wapi na wapi P..U ..MB...U WEWE.

Umenilazimisha kuandika utumbo.😕

We ndo mjinga kabisa we hujui jkt ni mradi wa CCM kukwapua pesa kwa kigezo kuwa zilitumik jkt
 
Hatupo jukwaa la utani hapa. Unaweza kufanyiwa hivi muda si mrefu.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1375543923733.jpg
    uploadfromtaptalk1375543923733.jpg
    51.7 KB · Views: 149
We ndo mjinga kabisa we hujui jkt ni mradi wa CCM kukwapua pesa kwa kigezo kuwa zilitumik jkt
Wanawake ndio wanaoteseka kuliko wanaume! udhibiti wa maafande kuwalala wanawake bado haujafanyiwa kazi. Nidhamu ya zinaa ipo pale pale na wanawake huziniwa sana ili wasisote kirahisi. Serikali idhibiti kwanza uhuni wa maafande kuwazini hovyo wasichana ndipo ijue kuwapeleka JKT vijana.
 
Upo sawa kabsaaa mkuu. Hili la ngono dhidi ya akina dada ilikuwa ikinikera vibaya sana wakati wa mafunzo.
 
unafikiri jkt kuna mgomo? Huko ni amri kwa kwenda mbele. No politics. You can any thing regardless you are willing or unwilling. Ka unabisha goma ww afu uwe wa mfano na wa kihistoria. Labda ka ukigoma indirectly i.e kusingizia matatizo ya kiafya n.k.
 
Naomba wahitimu wote wa kidato cha sita ambao hamjaenda jkt mkatae kwenda huko maana hili halina tija kwa taifa zaidi ya kwenda kutesana na kuumizana huko halafu kwanza nchi yoyote ile kipaumbele huwa elimu na sio majeshi, 2015 ikumbukeni chadema.

unafikiri jkt kuna mgomo? Huko ni amri kwa kwenda mbele. No politics. You can do any thing regardless you are willing or unwilling. Ka unabisha goma ww afu uwe wa mfano na wa kihistoria. Labda ka ukigoma indirectly i.e kusingizia matatizo ya kiafya n.k.
 
Ngoja 2ende 2kajifunze mbnu za kijeshi ili 2pambane vzuri na F.F.U wa bongo
 
BOYA KWELI!! Goma ww yani unamawazo finyu kama 2ndu la sindano.
JKT mbona mzuka morali ya kutosha ww kama hutaki kivyako usilazimishe na wengine
 
We nawe umeishiwa hoja, kama vip kawashauri darasa la kwanza wagome kudeki darasa lakin siyo vihoja vyako vyenye kuonyesha jinsi gani mtoa hoja asivo fikilia
 
Back
Top Bottom