50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Jambo la vijana limetiki. Hongereni sana.Vijana wakitanzania tuna imani na JPM.tutampa kura za ndio na tutahakikisha akutakuwa na uvunjifu wa amani. ulinzi wa amani yetu ni jukumu la kila raia hasa vijana.