SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wanakimbia misheria ya kipuuz mwezi wa kushinda njaaIli kuepukana na Sheria za kufuatiliana nani kafunga Nani hawafungi vijana wengi toka Saudia hukimbilia Ulaya na amerika kuendelea kuponda raha kipindi cha mwezi wa ramadhani Hadi ipite ndo warudi huko Saudia
Shida sanaTabia ya dini ilivyo kwa walio wengi,
utii kwenye dini huwa mkubwa sana kipindi cha utotoni hadi angalau miaka 23, zaidi ya hapo watu wengi huwa hawajali kuhusu neno dini
Kuna umri mtu akifika anona dini si chochote, hivyo hawezi kufuata kili kilichopo kwenye dini, hata huu mwezi wa ramadhan ulioisha si wengi walifunga... Wengi wanafunga hadharani lakini sirini hawafungi
Source?Ili kuepukana na Sheria za kufuatiliana nani kafunga Nani hawafungi vijana wengi toka Saudia hukimbilia Ulaya na amerika kuendelea kuponda raha kipindi cha mwezi wa ramadhani Hadi ipite ndo warudi huko Saudia
Source?Kwamba baada ya Ramadhan Waislamu wanaruhusiwa kuendelea na maisha yao ya kawaida (ambayo yamekatazwa kufanya wakati wa Ramadhani)
🙌 Waislamu wanafiki sana
Waangalie Waislamu wanavyokuwa wakati wa Ramadhani na isipokuwa Ramadhani, utaelewa.Source?
Source?Waangalie Waislamu wanavyokuwa wakati wa Ramadhani na isipokuwa Ramadhani, utaelewa.
Source, angalia mtaani kwako.Source?
Mawazo Mgando!!!!Hii dini hata wenyewe wahusika hawaipendi kuna siku muda si mrefu wataikataa
Source?Source, angalia mtaani kwako.
Tomato sourceSource?