Vijana hukimbilia Ulaya na America mwezi wa Ramadhan kukwepa nini Saudia

Tabia ya dini ilivyo kwa walio wengi,

utii kwenye dini huwa mkubwa sana kipindi cha utotoni hadi angalau miaka 23, zaidi ya hapo watu wengi huwa hawajali kuhusu neno dini

Kuna umri mtu akifika anona dini si chochote, hivyo hawezi kufuata kili kilichopo kwenye dini, hata huu mwezi wa ramadhan ulioisha si wengi walifunga... Wengi wanafunga hadharani lakini sirini hawafungi
 
Shida sana
 
Kwamba baada ya Ramadhan Waislamu wanaruhusiwa kuendelea na maisha yao ya kawaida (ambayo yamekatazwa kufanya wakati wa Ramadhani)
🙌 Waislamu wanafiki sana
 
Hii dini hata wenyewe wahusika hawaipendi kuna siku muda si mrefu wataikataa
 
Back
Top Bottom