Vijana huu ndo uchawi Uliopo Tanzania ebu kuwa makini.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Baada ya kufanya utafiti , Nilichogundua ni kuwa Usipokuwa Makini unafungwa( Akili )

Na wakikufunga Akili basi Fahamu hapo wamekumaliza .

Mimi nimejionea haya Mambo yaani uchawi huu Victim au muaathirika anakuwa hafahamu chochote. Na mara nyingi watu wa hivi hutumia Muda Mwingi kukosoa Maisha ya watu wengine na kujiona wao wako sahihi.

Ebu Fatilia ukifungwa Akili unasahu lengo la wewe kuwa hai na unaanza kutukuza na kuabudu Anasa .

Uchawi hupo katika Familiya na maeneo ya uswahilini vijana kuwa makini msije mkafungwa Akili.
 
Hii haipingiki kaka!
Kifungo kipo tena kikubwa sana.
Imagine Boy anapiga nyeto jirani yake wakike anajichua, hiyo ni akili imefungwa(Pepo limewafunga).

Madili yanakuja ya kutoboa kimaisha cha ajabu hakuna dili hata moja linalotiki. (Huko ni kufungwa).

Unakuwa mvivu kila ukitaka kufanya jambo la maana, na unaweza ukaamka asubuhi umepanga kabisa ila at the end unajikuta hufanyi kile ulichokuwa umekusudia.

Upo mahali au kwa mtu unafanya kazi, lakini unaona kabisa hupati chochote na unapoteza muda, lakini bado unaendelea kuwepo. Hapo umefungwa!

Michezo ya kubet ni kifungo. Wewe unaweza ukala efu 10, wewe ukaliwa laki.

Ulozi upo ndugu zangu! Hivi ulishawahi kuona watu wenye ujuzi, wenye performance nzuri ya kitu fulani? hawa ni mara chache kutoboa kimaisha. Unakuta anajua kabisa na ni 'Genius' na anajulikana na kila mtu kuwa ni fundi haswaa, lakini maisha yake huwa niyakutia huruma. Kalogwa huyu.

Pia, kuwa makini sana na mtu kama bosi wako, rafiki yako mliyeungana kufanya jambo moja la kuonekana kimaisha, ndugu na ukoo.
Hawa kwa 70% wanaweza kukulift down maisha yako.

Kwenye ukoo huwa kuna vita za kifamilia kwa upande wa mafanikio kimaisha.
Kunafamilia haipendi kuona mtoto wa familia nyingine ya ukoo anafanikiwa, ndio maana unakuta mtoto alikuwa na akili shuleni lakini siku ya pepa anaona pepa ni ya Biology wakati timetable ni mtihani wa English! 😀
 
Nakazia hapa mkuu.Umenena kweli kabisa
Hii haipingiki kaka!
Kifungo kipo tena kikubwa sana.
Imagine Boy anapiga nyeto jirani yake wakike anajichua, hiyo ni akili imefungwa(Pepo limewafunga).

Madili yanakuja ya kutoboa kimaisha cha ajabu hakuna dili hata moja linalotiki. (Huko ni kufungwa).

Unakuwa mvivu kila ukitaka kufanya jambo la maana, na unaweza ukaamka asubuhi umepanga kabisa ila at the end unajikuta hufanyi kile ulichokuwa umekusudia.

Upo mahali au kwa mtu unafanya kazi, lakini unaona kabisa hupati chochote na unapoteza muda, lakini bado unaendelea kuwepo. Hapo umefungwa!

Michezo ya kubet ni kifungo. Wewe unaweza ukala efu 10, wewe ukaliwa laki 1.

Ulozi upo ndugu zangu! Hivi ulishawahi kuona watu wenye ujuzi, wenye performance nzuri ya kitu fulani? hawa ni mara chache kutoboa kimaisha. Unakuta anajua kabisa na ni 'Genius' na anajulikana na kila mtu kuwa ni fundi haswaa, lakini maisha yake huwa ni kutia huruma. Karogwa huyu.

Pia, kuwa makini sana na mtu kama bosi wako, rafiki yako mliyeungana kufanya jambo moja la kuonekana kimaisha, ndugu na ukoo.
Hawa kwa 70% wanaweza kukulift down maisha yako.

Kwenye ukoo huwa kuna vita za kifamilia kwa upande wa mafanikio kimaisha.
Kunafamilia haipendi kuona mtoto wa familia nyingine ya ukoo anafanikiwa, ndio maana unakuta mtoto alikuwa na akili shuleni lakini siku ya pepa anaona pepa ni ya Biology wakati timetable ni mtihani wa English! 😀
 
Uchawi ni life style aliyoamua mtu kuiishi,Uchawi pia ni malezi anayopata mtu toka akiwa mdogo mpaka makuzi yake,uchawi ni aina tu ya maisha uliyoamua kuyaishi,iwe kua mvivu au kuchapa kazi,

Hakuna atakayekubadilisha bali ni wewe mwenyewe ndio unaweza kujibadilisha,jifanyie tathmini ya maisha unayoishi pia angalia aina ya marafiki ulionao kisha chukua maamuzi before it's too late.
 
Back
Top Bottom