Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huo upwiru unaukata kwa dk 5 unapata nuksi na mikosi miaka 40Unafikri hakuna anaejua hayo mkuu? Tatizo upwiru mkuu [emoji848][emoji848]
Wala hakuna cha mikosi ni kwamba ukiwa mzinzi lazima upoteze mda na fedha .Huo upwiru unaukata kwa dk 5 unapata nuksi na mikosi miaka 40
Nuksi na mikosi ni imani za kipuuzi tu, sema atapoteza pesa na anaweza kupata magonjwa.Huo upwiru unaukata kwa dk 5 unapata nuksi na mikosi miaka 40
Nilitegemea utamuunga mkono, mzee wa mambo ya adakadabra.Sema tu huna nguvu wacha maneno mengi wewe
Nguvu za kiume au?Sema tu huna nguvu wacha maneno mengi wewe
Ndio maana yake MkuuNguvu za kiume au?
hapo kwenye maukimwi dah napaogopa mnoooNuksi na mikosi ni imani za kipuuzi tu, sema atapoteza pesa na anaweza kupata magonjwa.
Nilitegemea utamuunga mkono, mzee wa mambo ya ad teakadabra.
Some people [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema tu huna nguvu wacha maneno mengi wewe
Sawa mkuu ila akiwa na bad vibes nasikia unambukizwađź‘‚Hakuna tendo linalo fungus nyota kama tendo la ndoa. Fanya mapenzi na wanawake wengi ( young girls) as much as u can mkuu wachana na hizo story za kuokoteza uchochoroni anazo taka kutuletea mtoa mada
kula vizuri fanya mazoezi pumzisha mwili wako ukiyazingatia hayo utaishi kwa matumaini ndugu