Vijana ingieni kwenye ndoa lakini mjue yaliyopo ni kinyume kabisa na matarajio

Vijana ingieni kwenye ndoa lakini mjue yaliyopo ni kinyume kabisa na matarajio

Acha tu tuendelee kuoa na kuoana ambae hajaingia kwenye ndoa anataka kuingia kwenye ndoa aliepo kwenye ndoa anataka ajinasue kisa ni kupata kinyume na matarajio, ulitarajia dozi itakua 1×2 kwa siku 7 ila unaingia unaambiwa kila baada ya miezi mitatu au miezi 6 ni kinyume na vile ulitarajia kumbe ndoa ni zaidi ya kumbanduana na kusagamuana

Maneno hayo sio mimi niliesema nmenukuu kwa mwamba mmoja hapo juu jaribu kuangalia vizuri

Nipite nipite kwenye mlango huu wa nyuma..
 
Nafurahi kufikisha mwaka wa 10 siku ya leo kwenye ndoa.

Nilioa kwa vigezo vyote vya dini , yaani ile no sex before marriage.

Ikiwa ngumu kidogo lakini kwa nguvu ya dini niliweza ingawa mwenzangu sikujua nyendo zake.

Na kwa kiasi kikubwa maisha yangu ya ujana sikuruka sana kwa ni njema ya siku nikiwa kwenye ndoa itakua poa.

Baada ya ndoa na uzazi sasa nilicho tarajia ni tofauti kabisa na kinachotokea.

Imenipelekea kua mhunu fulani hivi, mtu wa madem sana, malaya kama Kawa, safari za mbali kufuata dem, wakati mke yupo zero distance .

Hii ni kwa sababu ya mwanamke kua mvivu na mzito kwenye sex, yaani ina kua rais kupata sex nje kuliko ndani, ndani unaomba mpaka kwa magoti lakini unaambulia patupu.

Nimejuta kutokutumia ujana wangu vyema labda saivi ningekua mtulivu.

Vijana tumieni ujana wenu vilivyo dini zinazingua sometime.


Hata hivyo bado ndoa ni nzuri.
Nzur kivip nawakati hupati unyumba
 
Nampenda sana mke wangu...
rafiki yangu wa karibu
Screenshot_20221009-210151.png
 
Ndoa cha kwanza ni ngono tu, ukininyima sex kwasababu yoyote ile ya kipuuzi tofauti n kuumwa au kuwa kwenye siku zako nakuacha bila kufkiria mara 2 tokaaa..

nikitaka ngono ukiniambia leo umechoka nakufukuza kwangu uende kwenu maana kwangu ulikuja kunihudumia hilo tendo
 
Ndoa cha kwanza ni ngono tu, ukininyima sex kwasababu yoyote ile ya kipuuzi tofauti n kuumwa au kuwa kwenye siku zako nakuacha bila kufkiria mara 2 tokaaa..

nikitaka ngono ukiniambia leo umechoka nakufukuza kwangu uende kwenu maana kwangu ulikuja kunihudumia hilo tendo
Ndo bila tendo la ndoa hamna ndoa aisee hata furaha ya ndoa haiwez kuwepo hata hamu ya nyumbani kunakua hamna
 
Nafurahi kufikisha mwaka wa 10 siku ya leo kwenye ndoa. Nilioa kwa vigezo vyote vya dini, yaani ile hakuna ngono kabla ya ndoa.

Ilikuwa ngumu kidogo lakini kwa nguvu ya dini niliweza ingawa mwenzangu sikujua nyendo zake. Na kwa kiasi kikubwa maisha yangu ya ujana sikuruka sana kwa nia njema ya siku nikiwa kwenye ndoa itakua poa.

Baada ya ndoa na uzazi sasa nilichotarajia ni tofauti kabisa na kinachotokea. Imenipelekea kuwa mhuni fulani hivi, mtu wa wanawake sana, malaya kama kawa, safari za mbali kufuata mwanamke, wakati mke yupo karibu yangu kabisa.

Hii ni kwa sababu ya mwanamke kuwa mvivu na mzito kwenye mapenzi, yaani inakuwa rahisi kupata mapenzi nje kuliko ndani. Ndani unaomba mpaka kwa magoti lakini unaambulia patupu.

Nimejuta kutokutumia ujana wangu vyema labda saivi ningekuwa mtulivu. Vijana tumieni ujana wenu vilivyo dini zinazingua muda mwingine.

Hata hivyo bado ndoa ni nzuri.
tutalifanyia kazi.
 
Kuoa ni kuanzia miaka 50. Wanaume tuhakikishe tunakula pisi kwa uangalifu mkubwa.

Anyway nawakumbusha mwamba Yesu hakuoa sababu alijua atatumia akili ya ziada kwa hivi viumbe
Ewaaaa kwenye wanafunzi wake hakukuwa na pisi hata moja
Naqubali,,,, at least tuoe tukiwa na miaka 62+ hivi
 
Back
Top Bottom