Vijana Jikomboeni! Msikubali Kuishia Mtaani – Njooni Nifungue Akili Zenu, Life Haikosi Hope!

Vijana Jikomboeni! Msikubali Kuishia Mtaani – Njooni Nifungue Akili Zenu, Life Haikosi Hope!

Prof_Adventure_guide

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2023
Posts
533
Reaction score
1,499
Listen up vijana! Msisoteseke bure mitaani mkijiona kama dunia imewageuka – it's time to wake up and boss up. I’m here to open your minds na siyo kwa dharau au kujifanya najua, but kwa sababu I feel your pain. Najua hali ya nchi ilivyo, najua pressure iko juu, but trust me, kuna njia ya kutoka.

Nilipost hapa kabla lakini baadhi ya watu wamekuwa wakinitukana na kunikashfu. That’s cool, siogopi vichwa ngumu – mimi na-focus kwa wale wanaotaka kubadilika kweli. Hapa JF kuna real people wanaohitaji support, idea, na njia ya kutoka. I'm that plug!

Tour operators, pull up – njooni tujue namna ya kukuza hii sekta yenu hadi muwe na clients kila wiki.
Wafanyabiashara wadogo, let’s talk hustle – nitawaonyesha njia za kupata faida bila kuwindwa na kodi au makampuni makubwa.
Wasomi wa biashara, come thru – tujenge knowledge kwa vitendo siyo theory tu.
Wenye mitaji midogo, najua una 100k, 200k, maybe less – still unaweza anzia hapo na ku-turn it into something big.

Mi sitaki hela zenu kubwa. I'm charging almost nothing, just kidogo tu ili niweze kuendesha mambo. Lengo ni kusaidia – siyo kupiga watu. Kozi yangu ni straight up street-smart education na baada ya kumaliza, huwezi baki una hang mtaani bila direction. We getting you out the mud!

Kwa wale serious, watakutana nami pale mwisho wakiwa na biashara zao au wakiwa kwenye game tayari. I got you!

Msikae kimya – DM me au comment hapa.
Let’s link up – tujue namna ya kujiweka vizuri kwenye hii jungle ya maisha.

No Cap. No Scams. Just Real Moves.
 
Mkuu mbona unatumia nguvu kubwa sana kwenye kutukomboa katika umasikini?
Yaani hapajapambazuka tu huu ni uzi wako wa tatu, na zote unatuita vijana ili utukomboe.
 
Watanzania ukitaka kuwapata waambie umerogwa na nipo tayari kukupeleka kwa mganga akutibu.

Mwambie Una dawa ya kumpatia Kazi .

Mwambie kuwa una connection za Kazi .

Ila mambo ya kujifunza yanayo involve pesa ,ah ha a! Is not easy

In short black we are familiar kwa wale watu ambao wanatuumbia imagination problem.
 
Ungekuwa umejikomboa ungeweka waz kilichokukomboa ila pia vilevile usingekuja hata hapa jukwaani...ungekuwa busy kufanya michakato yako...kuja hapa na kuomba elfu 15 za vijana ni dalili we pia bado unajitafuta
 
Watanzania ukitaka kuwapata waambie umerogwa na nipo tayari kukupeleka kwa mganga akutibu.

Mwambie Una dawa ya kumpatia Kazi .

Mwambie kuwa una connection za Kazi .

Ila mambo ya kujifunza yanayo involve pesa ,ah ha a! Is not easy

In short black we are familiar kwa wale watu ambao wanatuumbia imagination problem.
Nimeamini kaka! Watanzania wengi wanahitaji msaada wa kisaikolojia kabisa
 
Ungekuwa umejikomboa ungeweka waz kilichokukomboa ila pia vilevile usingekuja hata hapa jukwaani...ungekuwa busy kufanya michakato yako...kuja hapa na kuomba elfu 15 za vijana ni dalili we pia bado unajitafuta
Tatizo ni 15k?? Au tatizo ni nini??
 
Kaka sijakulazimisha, kama unahisi wewe upo sahihi usipite kwenye uzi wangu!! Nakuomba tafadhali
Mkuu uzi ni wako lakini hii jamiiforums sio ya kwako niko huru kuchangia chochote kwenye uzi wa member yoyote ili mradi tu sivunji sheria.

Nimekuuliza kwanini unatumia nguvu kubwa sana katika kutukomboa sisi vijana katika umasikini? Maana hii asubuhi tu huu ni uzi wako wa tatu unatuita sisi vijana ili utukomboe katika umasikini.
 
Binafsi ninalo suluhisho kwa ma jobless wote na wale walio kwenye hali ngumu Yani mimi nitakupa ndoano na sio samaki.And guess what (10 odds) hapa tafuta 2000 tu kila siku ukipata 20k kutakuwa Kuna umasikini jamani hebu amkeni jamani sometimes uchumi tunakua tumeukalia wenyewe halafu kingine mm Sina mengi ukizitaka(10 odds) njoo 1k pm anayetaka na aje asiyetaka pita hivi
 
Back
Top Bottom