Ikaria
Member
- Jul 17, 2019
- 93
- 238
Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi.
Aidha maandamano mengine makubwa yameratibiwa kufanyika Jumanne ijayo kote nchini.
Ratiba:
Aidha maandamano mengine makubwa yameratibiwa kufanyika Jumanne ijayo kote nchini.
Ratiba: