Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Acha ujinga.. Swala la bandari linapingwa zaidi na mafisadi pamoja na wezi waliokuwa wananufaika na mfumo mbovu wa bandari uliopo sasa.Hapa chini nimeweka video ya Wana Dar es salaam wakisherehekea ushindi (kombe ).
Wengi wao ni vijana.
Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi.
Mpira na furaha ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, ila most of these young men they don't care about their future. Wanajua ukienda kazini na kurudi basi umemaliza.
Cha ajabu tukio la kupokea kombe limeteka nyoyo na macho ya vijana kuliko suala la BANDARI.
Je, tutafika?
Ni ujinga wa kurogwa au kurithi?
View attachment 2653730
Wananchi wana ratiba zao, Wadau wa bandari na wanabandari pia wana ratiba zao, sasa hapo shida ipo wapi?Kuna mdau aliwahi kuniambia hizi klabu za Simba na Yanga zipo kwa ajili ya manufaa ya viongozi uchwara hapo kwenye siasa. Yaani iko hivi inaweza kutokea jambo muhimu la kitaifa wananchi wakalipigia kelele sana sasa hao viongozi uchwara wakiona hivyo wataingiza agenda yoyote ile ya usimba na uyanga ili kuwapunguza makali.
Refer jambo la jana kulikuwa na haja gani kwa Yanga kufanya hiyo parade wakati ata fainali ya FA hawacheza!? Yaani fainali iko baada ya siku moja kutoka jana kisha ichezwe alafu unawapigisha parade wachezaji hivi inaingia akilini kweli, bila shaka tunarudi kule kule hilo jambo ilikuwa ni kuwapumbaza watanzania wasifuatilie masuala muhimu kule bungeni.
Inshu ni nyingi sana zinatokea na zinazimwa na usimba na uyanga. Kama we ni mfuatiliaji wa mambo nadhani unatambua hilo. Ila muhimu zaidi sisi watanzania tumekalia ma mipira na ngono muda wote tu.
Wananchi wana ratiba zao, Wadau wa bandari na wanabandari pia wana ratiba zao, sasa hapo shida ipo wapi?
Yaani ulitaka wananchi waahirishe shughuli zao kama wananchi wakafuatilie mambo ya bandarini?
Upo sahihi mkuuKuna mdau aliwahi kuniambia hizi klabu za Simba na Yanga zipo kwa ajili ya manufaa ya viongozi uchwara hapo kwenye siasa. Yaani iko hivi inaweza kutokea jambo muhimu la kitaifa wananchi wakalipigia kelele sana sasa hao viongozi uchwara wakiona hivyo wataingiza agenda yoyote ile ya usimba na uyanga ili kuwapunguza makali.
Refer jambo la jana kulikuwa na haja gani kwa Yanga kufanya hiyo parade wakati ata fainali ya FA hawacheza!? Yaani fainali iko baada ya siku moja kutoka jana kisha ichezwe alafu unawapigisha parade wachezaji hivi inaingia akilini kweli, bila shaka tunarudi kule kule hilo jambo ilikuwa ni kuwapumbaza watanzania wasifuatilie masuala muhimu kule bungeni.
Inshu ni nyingi sana zinatokea na zinazimwa na usimba na uyanga. Kama we ni mfuatiliaji wa mambo nadhani unatambua hilo. Ila muhimu zaidi sisi watanzania tumekalia ma mipira na ngono muda wote tu.
Pamoja na makalioIla watanzania wengi mambo ya mpira yamewakaa vichwani Sana.