Pre GE2025 Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025

Pre GE2025 Vijana kumchukulia Fomu ya Urais Rais Samia 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huchoki? Vijana wasiojielewa ndiyo pekee watakaoenda kufanya hiki kitendo. Kwa kifupj mama nchi imemshinda kuongoza. Miaka yote hii aliyokaa madarakani hakuna mradi wa kitaifa aliowahi kuuanzisha, na ile miradi aliyoikuta hakuna hata mmoja alioukamilisha.

Kazi yake kubwa ni kuzulura tu na kutoa pesa kwenye mipira lakini ameshindwa kutengeneza ajira kwa vijana. Uchumi umedolora huku rasilimali za nchi wanapewa wageni. Mpeni lakini baada ya miaka 5 mingine ndiyo mtagundua vjana hamna akili.
Ungejifunza kwanza kuandika
 
Back
Top Bottom