Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Wakati tunasubiri nchi kunyooshwa na Rais na kusubiria ntantalila za CCM
Nawashauri vijana wenzangu na wazee kuwekeza kwenye uwekezaji huu wa mitiki
Ingieni mtafute maarifa ya huu uwekezaji! Watu wengi wanafanya hiki kilimo wanapata fedha nyingi
Maeneo ya kununua mashamba ni mengi kwa wilaya ya Kilombero na Ulanga...!ardhi kule ipo fertile
Sasa cha kufanya ni wewe kwenda na kutafuta ardhi ununue hapa inategemea na maeneo na approach yako lakini hazidi laki 3@acre mbegu na kupimiwa shamba unapata bure kutoka kwa kampuni ya mitiki..!
Changamoto ni kuisimamia toka unapopanda hadi 3yrs toka uipande ..!kuanzia hapo haina changamoto sana..mie maneno mengi sina..tutafute hela jaman..tuwekeze..
miaka mi8 sio mingi kbs kbs ..!
Shime Watanzania! Tukutane2030[emoji4]
Nb.Kama upo serious pm me nikupe namba ya mhusika wa KILOMBERO TEAK CO.akupe mwelekeo!