Utajuaje ikiwa soulmate yupo Turkey!![emoji23] [emoji23]Wakiona hivyo muda wao bado au hawajakutana na ubavu wao SA watalazimisha mambo?kwanza mi nashangaa MTU mwingine anapambana hapa tz kumbe ubavu haupo bongo hapa..[emoji1] [emoji1]
Kukosekana kwa maadili hakujawahi kuwaacha watu salama!Kukosekana kwa maadili kunajenga ama ni mwiba kwa nchi
Ha ha ha omba Mungu akujurishe namna utakutana naye soolmate wakoUtajuaje ikiwa soulmate yupo Turkey!![emoji23] [emoji23]
hivi isidingo bado inaendelea?[emoji20]maisha ya siku hizi zaidi ya isidingo ya ITV
sijui itakuwa imefika season ya ngapi ss hivi!!!
Sidhan kama Isidingo ina season.sijui itakuwa imefika season ya ngapi ss hivi!!!
sasa ni TV Show ya aina gani!!!Sidhan kama Isidingo ina season.
Na sidhan kama ni series ile,
Mie sijawah kuifatilia hata kidogo
Yes seriousMkuu imekutokea hii!!
Well saidVijana hawaoi kwa sababu huduma zote zinazopatikana kwenye ndoa wao wanazipata hata kabla ya kuoa. What d'you expect
Walikosa huduma nyingi za ndani ya ndoa hivyo kupelekea wao kuwa na hamu ya kioa mapema mfano kula kLakini zamani babu zetu waliweza vipi kuoa mapema miaka 18 mtu anaoa
Duh milioni tatu hapo unaweza ukanunua kuku wa mayai na nyama ukafuga ukapata faida zaidi ya hiyo au ukawekeza kwenye biasharayyte ambayo inaweza kukulipa zaidi kuliko kununua ugonjwa wa moyoHii ni kweli jamaa yangu kaambiwa million 3 singida huko