Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshasema zamani...kwa hiyo sasa hivi sio zamani, sio kila homa ni malariaLakini zamani babu zetu waliweza vipi kuoa mapema miaka 18 mtu anaoa
Hawatabiriki, mwanzon anaweza kuwa mke mwema, akisha kuzoea baaasi hali inabadilikaYani me hapa ni 30s lakini kuoa ni ndoto kwangu.Wazazi wamenibana balaa.Tatizo ni mke,hawa mabinti wa Siku hizi ni hatari
kwa huo msamwada nani anakuoe. Kila siku si nitachapiwaMbona wakina dada wengi wanalalamika tu kuchezewa
asante umemaliza kabisaVijana hawaoi kwa sababu huduma zote zinazopatikana kwenye ndoa wao wanazipata hata kabla ya kuoa. What d'you expect
hahaaa sasa kama maisha yake ni magumu si atakufa pasipo kukutana na huo ubavu wake ..maana kwenda nje ya nchi nigharama nyingine piaWakiona hivyo muda wao bado au hawajakutana na ubavu wao SA watalazimisha mambo?kwanza mi nashangaa MTU mwingine anapambana hapa tz kumbe ubavu haupo bongo hapa..[emoji1] [emoji1]
bado hadi muda utakapofikaWe umeoa Jose!
mi bado sijamaliza kuwalaJe wanawake wa kuoa hakuna au
Je maisha ni magumu
Au ni uoga wa maisha
Karibu tujadili
Matukutukuumeshasema zamani...kwa hiyo sasa hivi sio zamani, sio kila homa ni malaria
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Matukutuku
Je wanawake wa kuoa hakuna au
Je maisha ni magumu
Au ni uoga wa maisha
Karibu tujadili