Vijana kwanini wazito kuoa

Vijana kwanini wazito kuoa

Wakiona hivyo muda wao bado au hawajakutana na ubavu wao SA watalazimisha mambo?kwanza mi nashangaa MTU mwingine anapambana hapa tz kumbe ubavu haupo bongo hapa..[emoji1] [emoji1]
Utajuaje ikiwa soulmate yupo Turkey!![emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
hivi isidingo bado inaendelea?[emoji20]
Screenshot_20180203-212207.png
Screenshot_20180203-212159.png
 
Hii ni kweli jamaa yangu kaambiwa million 3 singida huko
Duh milioni tatu hapo unaweza ukanunua kuku wa mayai na nyama ukafuga ukapata faida zaidi ya hiyo au ukawekeza kwenye biasharayyte ambayo inaweza kukulipa zaidi kuliko kununua ugonjwa wa moyo
 
Kama alivojibu yule mzee wa kwenye uswaz ndan ya EATV kwamba vijana atuangalii fursa zilizopo ili kuweka maisha kuwa saf na kuweza kuweka mwanamke ndan ila ndo tujifunze sasa
 
Siku hizi starehe zipo nyingi..Wanawake wanatoa papuchi kwa urahisi..... Wanawake wenyewe pasua kichwa......wanaume wengi wa umri wa kuoa hawana hela wala kazi ya uhakika,wazugaji tu anahofia ndoa...... Wanaume siku hizi mihemko ya ngono ipo hafifu hivyo basi hawaendi lesi..... Nk
 
Yani me hapa ni 30s lakini kuoa ni ndoto kwangu.Wazazi wamenibana balaa.Tatizo ni mke,hawa mabinti wa Siku hizi ni hatari
Mkuu wape mjukuu hata kwa kuchapa outsider
 
Back
Top Bottom