matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates.
Muachane na vijiwe vya betting.
Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa vichocheo vya kansa, visukari na ufu.
Vijiwe vya kuchochea ukimwi, gono, UTI na kuhamasishana uzinzi kinyume na maumbile.
Muanzishe clubs za kubadilishana ideas.
Huku mkila matunda, korosho na vyakula vya maana (brain activators) akili ziwe njema. Vyakula vinavyoongeza resilience (uwezo wa kuanzs tena hata ukianguka)
Ni hayo tu.
Mbarikiwe