Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Anzisheni connection miongoni mwenuSawa broo, maana ata connection hamtupi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzisheni connection miongoni mwenuSawa broo, maana ata connection hamtupi.
Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.Na wengine wapo sehemu ambayo kumvuta mtu yeyote hata mmoja tu anaweza ila yupo radhi hiyo nafasi ipotee tu baadae aje kuandika humu vijana wa miaka ya 2000 kuja juu wavivu sana...pana mtu hataki kazi ?tusiwasimange vijana tuwape connection Wazee Wazee...
Inatakiwa conncetion wazikutie huko mashambani. Sasa wanataka connection ziwakute wakiwa wanachat.Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.
Hawa watoto anaona bora shemeji ampe elfu 10 asubuhi elfu 5 anapeleka mkeka beti nyingine anahonga ila kazi zenye mustakbali mzuri hawataki. Hiki kizazi Z ni shida sanaInatakiwa conncetion wazikutie huko mashambani. Sasa wanataka connection ziwakute wakiwa wanachat.
Kuna Manager mmoja nilikutana naye, anasema alikuwa na masters ameajiliwa anasimamia shamba la mtu wakati anaendelea kushughulikia mambo yake. Kumbe mmiliki ni decision maker kwenye taasisi kubwa ya career yake. Alipomjua tu jamaa moja kwa moja akatoka juwa msimamizi wa shamba hadi town kuwa msimamiz wa ofisi kubwa tu.
Safi sana.Upo kweli mkuu kuhusu vijiwe hivi, hii middle class ya sasa ya dot.com ni wanalalama tu,actions ni zero, ukitembelea jiji la Dar, Ile bustani iliyo mbele ya jengo la Posta ya zamani kilikua kijiwe muhimu mno kipindi hicho, kila sector walikusanyika pale na kupeana mikakati ya maisha, sio ulevi na ngono, interview za New Africa Hotel na DSM Sheraton Hotel datas zote candidates walizipata pale, generation ile ilipendana na ubinafsi haukuwepo, hivyo hivyo kwa bankers, wanasheria etc etc,na elewa kijiwe kile our own deputy PM amekaa sana kijiwe kile, kijiwe chake kilikua chini ya ule mti uliokaribu na maungio yanayo face kanisa la Lutheran
Shamba la kilimo gani?ni Pm mkuu tuongee.Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.
Akupm wewe au wewe ndio UmPM.Shamba la kilimo gani?ni Pm mkuu tuongee.
📌📌Mabroo wengi roho mbaya, wanataka kila mmoja apitie machungu aliyoyapitia yeye mpaka kufanikiwa. Sasa umuhimu wa wao kutangulia upo mbele upo wapi?
Nipe number PM vijana wengi wananiulizia kazi niwape namba yako na wengine wapo huko huko Mbeya...Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.
Sio wote Mkuu...Vijana wenyewe ukiwapa ushauri wanatoa kauli za kukata tamaa.
Laiti wangekuwa wanajadili maendeleo kama wanavyojadili michezo basi vijana wangefika mbali sana
Huyo alitoka 3 kwenda 1.in short hakuwa na malengo ya kufika mbali.Hakuna connection ambayo mtu ananyimwa. Kila ikitokea mtu anapata.
Waiayi unasubiri connection kutoka kwa watu ambao wako connected na wewe anza kufanya chochote. Hapa kuna mtu wangu wa karibu aliuza juice, karanga tena anatembeza mtaani, kalima mchicha na matembere hafi siku anapata connection ya kazi ya ualimu ndio wakina mama mtaani wakajua ni msomi wa chuo.
Dunia iko kazi, inatakiwa uanze kutambaa wakayi unasubiri kutembea au kukimbia.
Brain activators
Najazia jazia nyama hapo kwenye Age of enlightenment 🤓🤓Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates.
Muachane na vijiwe vya betting.
Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa vichocheo vya kansa, visukari na ufu.
Vijiwe vya kuchochea ukimwi, gono, UTI na kuhamasishana uzinzi kinyume na maumbile.
Muanzishe clubs za kubadilishana ideas.
Huku mkila matunda, korosho na vyakula vya maana (brain activators) akili ziwe njema. Vyakula vinavyoongeza resilience (uwezo wa kuanzs tena hata ukianguka)
Ni hayo tu.
Mbarikiwe
Uzi bado haijakaa vizuri enway umesomeka subiri waendeleeVuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates.
Muachane na vijiwe vya betting.
Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa vichocheo vya kansa, visukari na ufu.
Vijiwe vya kuchochea ukimwi, gono, UTI na kuhamasishana uzinzi kinyume na maumbile.
Muanzishe clubs za kubadilishana ideas.
Huku mkila matunda, korosho na vyakula vya maana (brain activators) akili ziwe njema. Vyakula vinavyoongeza resilience (uwezo wa kuanzs tena hata ukianguka)
Ni hayo tu.
Mbarikiwe
Nakijuwa sanaUpo kweli mkuu kuhusu vijiwe hivi, hii middle class ya sasa ya dot.com ni wanalalama tu,actions ni zero, ukitembelea jiji la Dar, Ile bustani iliyo mbele ya jengo la Posta ya zamani kilikua kijiwe muhimu mno kipindi hicho, kila sector walikusanyika pale na kupeana mikakati ya maisha, sio ulevi na ngono, interview za New Africa Hotel na DSM Sheraton Hotel datas zote candidates walizipata pale, generation ile ilipendana na ubinafsi haukuwepo, hivyo hivyo kwa bankers, wanasheria etc etc,na elewa kijiwe kile our own deputy PM amekaa sana kijiwe kile, kijiwe chake kilikua chini ya ule mti uliokaribu na maungio yanayo face kanisa la Lutheran
Mkuu am ready kufanya hiyo kazi.Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.