Vijana majobless muanzishe vijiwe vya kubadilishana mawazo kama wazee walivyoanzisha vijiwe vya kahawa kupigana fiksi

Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.
 
Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.
Inatakiwa conncetion wazikutie huko mashambani. Sasa wanataka connection ziwakute wakiwa wanachat.

Kuna Manager mmoja nilikutana naye, anasema alikuwa na masters ameajiliwa anasimamia shamba la mtu wakati anaendelea kushughulikia mambo yake. Kumbe mmiliki ni decision maker kwenye taasisi kubwa ya career yake. Alipomjua tu jamaa moja kwa moja akatoka juwa msimamizi wa shamba hadi town kuwa msimamiz wa ofisi kubwa tu.
 
Hawa watoto anaona bora shemeji ampe elfu 10 asubuhi elfu 5 anapeleka mkeka beti nyingine anahonga ila kazi zenye mustakbali mzuri hawataki. Hiki kizazi Z ni shida sana
 
Upo kweli mkuu kuhusu vijiwe hivi, hii middle class ya sasa ya dot.com ni wanalalama tu,actions ni zero, ukitembelea jiji la Dar, Ile bustani iliyo mbele ya jengo la Posta ya zamani kilikua kijiwe muhimu mno kipindi hicho, kila sector walikusanyika pale na kupeana mikakati ya maisha, sio ulevi na ngono, interview za New Africa Hotel na DSM Sheraton Hotel datas zote candidates walizipata pale, generation ile ilipendana na ubinafsi haukuwepo, hivyo hivyo kwa bankers, wanasheria etc etc,na elewa kijiwe kile our own deputy PM amekaa sana kijiwe kile, kijiwe chake kilikua chini ya ule mti uliokaribu na maungio yanayo face kanisa la Lutheran
 
Safi sana.
 
Nina shamba tukuyu nimetangaza nahitaji kijana wa kusimamia shamba, mwezi wa tatu sasa sipati, mshahara laki 2. Vijana wa sasa wengi wao wavivu.
Nipe number PM vijana wengi wananiulizia kazi niwape namba yako na wengine wapo huko huko Mbeya...
 
Huyo alitoka 3 kwenda 1.in short hakuwa na malengo ya kufika mbali.
 
Najazia jazia nyama hapo kwenye Age of enlightenment 🤓🤓

Rafik yangu wa udogoni udogoni nilikutana nae way back katika kubadilishana mawazo akasema...............

Dr am 4 real PhD kama hujawai kutumia kilevi chochote tangu umezaliwa basi wewe haujawai kuishi......

Nilijuaga tangu yupo primary school alikua anapigaga msuba ki smart
 
Uzi bado haijakaa vizuri enway umesomeka subiri waendelee
 
Nakijuwa sana

Hicho kijiwe hata kishanipa 1,2,3

Ova
 
Vijiwe sahv vijana watoto wanakaa kubishana mipira ,sjui mondi kiba konde zuchu
Udaku kuanZia asubuhi mpaka jioni ligi tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…