Vijana masikini manaobiwa tafuta hela na wanawake jifunzeni kwa Diamond

Kama diamond akiombwa hela anazima simu na kubadilisha namba , je wewe Kijana masikini kapuku ,kabwera kipi kinakufanya uchezee hela zako ambazo hata hauna na Una maisha magumu



View attachment 3242008
Wanaweka sijui mnatumiaga akili gani..sasa kwa akili zake huyu nae alijua kabisa akimpata mond atatoboa..
Wanaume hatujawahi kubadilika sisi huwa tunawekeza kwa familia sana sana.. huko kwibgine tunapota tu.
 
kWa hiyo mwanamke akiwa mrembo anafikiri kwamba anastahili kufanyiwa kila kitu?!
Aisee..
 
Raha ya Dunia hii ukiwa na Pesa kiasi flani Wala huongi sana utakuta unampanga panga na Vincent lakini ukiwa huna kabisa unajifanya unavimba mara unatoa 50000 kisa Tobo halafu jirani Yako anatoa mshikaki na buku ya vocha BIGUP mond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…