Uongo dhambi! Yaani "msimbazi" moja ya Castle 4 mtu unapata ekari ya ardhi? Ina maana laki niliyofuta jana ingenipa ekari 10? Wapi huko nianze safari??
kabisaaaa
Exactly !! Mbona kuna maeneo mengi makubwa tu hapa TZ yanayotolewa mpaka bure na serikali. Wewe tu ujipange kufyeka pori. #HelaYakoTu. Unajua Wa TZ wengi bado tumelala tena usingizi wa kukoroma. Kuna watu wanamezea mate ardhi yetu kweli yani wanatuangalia tu tunavyocheza na maisha. Nchi za watu opportunities its like zimekwisha u kno, kila sector watu washakaba !!
Tanzania kubwa sana hii mkuu, kuna maeneo ekari moja bado inauzwa elfu 10!!
solar ni very expensive na ni delicate pia...jaribu kuulizia pump inayotumia solar uone bei yake
Hii nchi wangepewa waisrael ungekuta leo hii wanalisha afrika nzima, Babu yangu ana pori la ukubwa wa acre 800 (hectare 320 ivi) zamani alikua akilima mahindi/maharage/vitunguu akinyeeshea kwa maji ya kisima yakivutwa kwa pump ya disel za zamani sana ...sasa hivi shamba lile limegeuka pori tu, kisima kipo ila ni cha kusafisha tu maana hata leo ukitega sikio kwenye lile bomba lililozama ardhini unasikia milio ya maji, hakuna umeme ulopita maeneo yale ..wapi nitapata mhisani tuka install vitu solar kama hizi?
solar ni very expensive na ni delicate pia...jaribu kuulizia pump inayotumia solar uone bei yake[
Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10
Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10
mkuu CYBERTEQ hebu tujuze ni maeneo gani zinapatikana hizo ekar moja kwa elfu15..
Jana kama umekula laki basi ujue umekula ekari za kutosha, mwaka jana kuna kijiji ilikuwa ukiuziwa ekari
moja elfu15 wanakupandia miti kwa elf10